Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Mkuu kwa elimu, haya mambo hutokeaHaya ni maswali ya story za vijiweni haya! Ila kukuelimisha ni hivi: Anapotoka kama amemwona yule mtu aliyedhaniwa kuwa aliuawa inatakiwa yeye afungue kesi ili Jamhuri imlipe fidia kwa muda aliopoteza akiwa jela bila kosa! Na kama uvumilivu utamshinda na akiamua kujichukulia sheria mkononi basi atakamatwa tena na atafanyiwa kesi mpya ya mauaji japo kwenye hukumu ya pili anaweza kupunguziwa adhabu kulingana na mazingira aliyotenda kosa! Hiyo itategemea mazingira ya kuua.
Marekani imehatokea mara nyingi watu wakatumikia jela miaka zaidi ya ishirini na baadae ikaja kuonekana kumbe hawakuwa na hatia. Wengi walilipwa fidia kubwa na serikali.
Sawa MkuuGoogle zipo... andika penal code Tanzania RE 2002
Sawa Ndg.Hukumu za mauaji huwa hazitolewi mapema. Zina mchakato mrefu sana ili kujiridhisha kuwa aliyedaiwa kuuawa ameuawa.