Wanasheria upande wa mafisadi ni wa kuogopa kama ukoma

Wanasheria upande wa mafisadi ni wa kuogopa kama ukoma

Basi balance habari kwa, hata mara moja moja, kutuambia kuhusu na hivyo vizuri.
Mkuu vipengele vibaya ndio vitatuumiza kama Taifa kwa miaka mingi. Nafikiri sote tunataka mkataba mzuri, usiosumbua huko mbeleni kama nchi zingine.
 
Ni vyema umebadili nyimbo, ilikuwa "bandari imeuzwa" sasa imekuwa "kukodisha bandari".
".

Mengine hayo ni porojo zako tu. Unajiaminisha ujinga tu.
Kwani miaka mia si sawa na kuuzwa tu. Kwani wakiuza watakuambia? Loliondo leo utasema haijauzwa? Pengine dubai wakikabidhiwa miaka zaidi ya 30 ulikua hujazaliwa😆😂...ooops faiza nina hakika wee kikongwe😂😂
 
Ndio wameamua kuwa makuwadi kwa kutumia taaluma zao!
Ni aibu na laana kuu kwao na uzao wao! Unauza utu wako na kufanya dhuluma kuu kwa wananchi wenzako KISA tu umepewa RUSHWA! laana kubwa sana hii.
 
Kwani miaka mia si sawa na kuuzwa tu. Kwani wakiuza watakuambia? Loliondo leo utasema haijauzwa? Pengine dubai wakikabidhiwa miaka zaidi ya 30 ulikua hujazaliwa😆😂...ooops faiza nina hakika wee kikongwe😂😂
Loliondo imeuzwa, faida gani wamepata wamasai?
 
Sijui huko, huku kwetu haujawahi kuwa changamoto ya kihiiivyo. Kukiwa na tatizo ukipiga tu makao makuu wanakufikia ndani ya dakika.
Nyie mpo karibu sana na serikali. Wale ni ndugu zenu, washkaji zenu. Kuna tofauti na mlalahoi kama mimi.
 
Back
Top Bottom