Wanasheria wa CDM

Kichakoro

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2008
Posts
3,335
Reaction score
6,186
Napenda kutoa pongezi zangu kwa wansheria wa chadema. Ukweli ni kwamba tunamwona LIsu zaidi kwa sababu yeye ndio anaonekana kwenye vyombo vya habari zaidi bungeni na ni msemaji wa chadema kuhusu maswala ya sharia. lakini tukumbuke chadema inao wanasheria wazuri wengi sana mithili ya LISU. Kuna Prof. Safari big up sana, Kuna Mabele Marando Big up sana, kuna Kibatala Big up to you, Kuna Msando Albert Big up, na wengine. Please tuwape moyo kwa ushirikiano wao wanaompatia Mh. TL kwa credit anazo[ewa LISU ni za kwao pia. BIG uP sana Learned Brothers and Sister
 
Weka majina yote tuwajue sasa sio kupika mchele nusu kuiva nusu mbichi! !!!!!!
 
Ruksa kuongeza wengine mimi siwafahamu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…