Napenda kutoa pongezi zangu kwa wansheria wa chadema. Ukweli ni kwamba tunamwona LIsu zaidi kwa sababu yeye ndio anaonekana kwenye vyombo vya habari zaidi bungeni na ni msemaji wa chadema kuhusu maswala ya sharia. lakini tukumbuke chadema inao wanasheria wazuri wengi sana mithili ya LISU. Kuna Prof. Safari big up sana, Kuna Mabele Marando Big up sana, kuna Kibatala Big up to you, Kuna Msando Albert Big up, na wengine. Please tuwape moyo kwa ushirikiano wao wanaompatia Mh. TL kwa credit anazo[ewa LISU ni za kwao pia. BIG uP sana Learned Brothers and Sister