Wanasheria wa Chadema fungueni kesi haraka ili amri ya habeas corpus itolewe na Lissu apelekwe mahakamani

Wanasheria wa Chadema fungueni kesi haraka ili amri ya habeas corpus itolewe na Lissu apelekwe mahakamani

Kwa nini amefichwa? Hili sio suala dogo. Habeas Corpus itolewe na mahakama kuu Lissu aletwe Mahakamani. Na mahakama itowe tafsiri sahihi ya uhaini aliofanya Lissu.

Chondechonde mfungue kesi haraka sana. Naanzaa kupata wasiwasi juu ya huyu shujaa wetu
kwamba hilo unawaambia chadema g55,
au unamwambia heche na lema gentleman?

wanakuelewa sasa wakati wana stress za migomo ya kampeni ya tone tone kidigitali kukwama?🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Duh nikajua nimesoma I'd vibaya kumbe bado sijalewa, ni yeye kabisa Idugunde. Sishangai kwa watu waliomuelewa Magu kumsupport Lissu
 
Wanamuomba msamaha gerezani ili atolewe akapige picha na mama jamaa amegoma ndio bado wamerudi kujadiliana nini cha kufanya
very soon, si ukute akanywa chai meza moja na mama yetu. hapo ndipo utajua siasa za bongo chukua jembe ukalime. na mbowe si alikuwa hivyo hivyo.
 
Mbowe hakuwa na msimamo
na walitutukana sana humu tuliposema ni mfanyabiashara anayefaidika na siasa, na jinsi alivyokuwa anapretend huwezi amini alichokuwa anafanya. hatujui kama Lisu naye atapona mtego huo.
 
Unampeleka magereza alafu wafungwa nao wanapata madini ya No reform no election.
Watakuja kumuweka ikulu sasa
Watakuwa walifurahi kumuona huko hahahaaaaa, kupendwa na watu raha jamani.


Mungu ni mwema
 
Back
Top Bottom