Ni sawa ili kuepuka ile kauli walioizoea masokwe kusema kwanini hamkuenda mahakamani,hii sio mnakwenda kushinda au kushinwa hayo ni matokeo ,kinachotakiwa ni rekodi ambazo huandikwa na historia.Kesi ya nyani umpe ngedere
Wakishahukumiwa na mahakama ya Jamii toshaNi sawa ili kuepuka ile kauli walioizoea masokwe kusema kwanini hamkuenda mahakamani,hii sio mnakwenda kushinda au kushinwa hayo ni matokeo ,kinachotakiwa ni rekodi ambazo huandikwa na historia.
Hawa mpaka watoe kilicho nyuma ya pazia,nani aliwataarifu nani aliwatoa jela nani aliwajazia fomu,kama walitishwa wasifike kwenye kikao ni nani aliewaambia hilo na kwa nini na nani aliwaandikia zile barua ya aina moja kwa wote tofauti ni jina tu.Ni mengi sasa mahakamani ndiko kutakuwa na kaukweli flani.Covid 19 waungane na waunga juhudi waliotelekezwa na ccm waunde chama chao waombe ufadhili ccm
hayo sio ya kwetu ni yao,huku tunafuata sheria sasa kama wao hawazifuati ni lao, Hakutazuka lawama hapo baadae kwamba hamkuenda mahakamani hata kama mahela amepeleka majina yeye anaweza kushitakiwa kwa kuwa chama hakikumkabidhi aliyatoa wapi ?Hahaha mahakama gani?! Wamejiondoa mahakama zote zenye kutenda haki wamebakiza za ccm, sasa uende kuishitaki ccm kwa ccm?!
Hahaha utamshitaki wapi huyo Mahela?!hayo sio ya kwetu ni yao,huku tunafuata sheria sasa kama wao hawazifuati ni lao, Hakutazuka lawama hapo baadae kwamba hamkuenda mahakamani hata kama mahela amepeleka majina yeye anaweza kushitakiwa kwa kuwa chama hakikumkabidhi aliyatoa wapi ?
Ni kweli kabisa. Lazima kumbukumbu ziwekwe sawa 'for future reference if not action".Ni wazi mchezo uliotumika kuwaingiza wabunge wateuliwa akiwemo mfungwa kwenye bunge la Tanzania hauwezi kufumbiwa macho, sasa uangaliwe utaratibu wa kufungua mashtaka dhidi ya mechi nzima utafutwe uharamu au uhalali wake.
Kama CHADEMA wanajiridhisha kuwa kuna sahihi zimefojiwa,kuna mtu amehudhurisha majina bila ya idhini ya Chama,hilo ni kosa kubwa sana la jinai ni sawa na hela ya Chdema kutolewa benki kwa kutumia nyaraka feki ikiwemo mihuri ya Chama.
Je inawezekana kufunguliwa mashitaka dhidi ya wahusika ? Au wapo juu ya sheria na hawawezi kufunguliwa mashtaka ?
Hata kama imani ya kusikilizwa ni ndogo lakini historia huandikwa na kumbukumbu kuweka kuna walioshirki vita na Adolph Hitler mpaka miaka ya karibuni iliyopita wamefikishwa mahakamani.
Chupuchupu marais na viongozi wa Tanzania wapandishwa mahakamani na utawala huu wa Magufuli ,hivyo huko tuendako si ajabu akatokea au ukatokea uongozi utaoweza kuwafikisha viongozi waliopita kizimbani na kujibu mambo kama haya yanayotokea leo.
Chadema funguweni kesi.
mkuu umeingia shift ya asubuhi ,ebanaee sauti ya zege kawa kipenzi chenu aisee kila la heri kwa hiyo wakiwa wabunge wa ndugai/mahakama ile trillion 2 ya EU itakuja au ndo itaonekana kwamba hii nchi ina bonge la demokrasia?Pira ndio dk 45 za kwanza Halima team 1 vs kamati kuu 1!
mkuu umeingia shift ya asubuhi ,ebanaee sauti ya zege kawa kipenzi chenu aisee kila la heri kwa hiyo wakiwa wabunge wa ndugai/mahakama ile trillion 2 ya EU itakuja au ndo itaonekana kwamba hii nchi ina bonge la demokrasia?
MUACHE ABAKI HUKO SI NDO PEKEE KACHAGULIWA AU? YEYE NO THE BEST NCHI NZIMA KAENI NAYE JAMENI MBONA MNAHAHA FANYENI KAZI SASA MAGUNZI YAMEONDOKA,DUHSijui kwa nini wanachama wa Chadema wanapenda kuchezewa akili na viongozi wao. Hata hawajiulizi kama kweli wana nia thabiti ya kutoshirikiana na serikali, walishindwaje kumdhibiti mbunge wao pekee wa kuchaguliwa asiapishwe kuwa Mbunge? Mchezo uleule unachezwa kwa hawa wateule 19. Uongozi unajua nini kimefanyika, unajaribu kudhibiti hasira za wanachama kwa kujifanya hawajui kilichotokea.
Kama unaamini wamefukuzwa nakuonea huruma. Kinachofanywa ni "damage control" Mbowe anajua kufukuzwa kwao hakuna athari ya maamuzi ya hao 19 kuingia bungeni, ndio maana ametoa loophole ya siku 30 wateule kuandika barua za kukataa rufaa au kuomba msamaha. Maanaa yake bado ni wanachama wa Chadema.MUACHE ABAKI HUKO SI NDO PEKEE KACHAGULIWA AU? YEYE NO THE BEST NCHI NZIMA KAENI NAYE JAMENI MBONA MNAHAHA FANYENI KAZI SASA MAGUNZI YAMEONDOKA,DUH