Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Mngeiba kwa akili msingehangaika jinsi ya kupata pesa za mabeberu.Wazee wa kupokea makapi covid 19 hio angaikeni nayo.Sisi tumevaa barakoa.Ndiyo maana mmekosa ubunge, inakuwaje mnawaita wenzenu majina mabaya kiasi hicho? Ningekuwa na mamlaka ningewatandika bakora wajinga nyie. Kwanza mmetuletea kibaraka ili awe rais tukawavumilia, sasa mnavuka mstari wajinga nyie