SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Hiyo ni kuweka rekodi hata kwa vizazi vijavyoKesi ya nyani umpe ngedere
Ulitaka wamdhibiti kwa mamlaka yapi?Sijui kwa nini wanachama wa Chadema wanapenda kuchezewa akili na viongozi wao. Hata hawajiulizi kama kweli wana nia thabiti ya kutoshirikiana na serikali, walishindwaje kumdhibiti mbunge wao pekee wa kuchaguliwa asiapishwe kuwa Mbunge? Mchezo uleule unachezwa kwa hawa wateule 19. Uongozi unajua nini kimefanyika, unajaribu kudhibiti hasira za wanachama kwa kujifanya hawajui kilichotokea.
Subiria awamu hii ipite kesi zipo nyingi Sana ajae ajiandae kulipa fidia na serikali kushitakiwa sana.la ubomoaji nyumba kimara ni kiporoHiyo ni kuweka rekodi hata kwa vizazi vijavyo
Naunga mkono hoja.Ni wazi mchezo uliotumika kuwaingiza wabunge wateuliwa akiwemo mfungwa kwenye bunge la Tanzania hauwezi kufumbiwa macho, sasa uangaliwe utaratibu wa kufungua mashtaka dhidi ya mechi nzima utafutwe uharamu au uhalali wake.
Kama CHADEMA wanajiridhisha kuwa kuna sahihi zimefojiwa,kuna mtu amehudhurisha majina bila ya idhini ya Chama,hilo ni kosa kubwa sana la jinai ni sawa na hela ya Chdema kutolewa benki kwa kutumia nyaraka feki ikiwemo mihuri ya Chama.
Je inawezekana kufunguliwa mashitaka dhidi ya wahusika ? Au wapo juu ya sheria na hawawezi kufunguliwa mashtaka ?
Hata kama imani ya kusikilizwa ni ndogo lakini historia huandikwa na kumbukumbu kuweka kuna walioshirki vita na Adolph Hitler mpaka miaka ya karibuni iliyopita wamefikishwa mahakamani.
Chupuchupu marais na viongozi wa Tanzania wapandishwa mahakamani na utawala huu wa Magufuli ,hivyo huko tuendako si ajabu akatokea au ukatokea uongozi utaoweza kuwafikisha viongozi waliopita kizimbani na kujibu mambo kama haya yanayotokea leo.
Chadema funguweni kesi.
Hivi ukihukumiwa jela halafu ukaambiwa unahaki ya kukata rufaa kwa hiyo utakuwa raia huru hata kabla ya rufaa yako kusikilizwa?Kama unaamini wamefukuzwa nakuonea huruma. Kinachofanywa ni "damage control" Mbowe anajua kufukuzwa kwa hakuna athari ya maamuzi ya hao 19 kuingia bungeni, ndio maana ametoa loophole ya siku 39 wateule kuandika barua za kukataa rufaa au kuomba msamaha. Maanaa yake bado ni wanachama wa Chadema.
Na kwa kuongezea katika huo muda wa kuappeal anakuwa sio mwanachama na sio kiongoziKifaurongo jina lakini linadhihirisha una kauwongo. Wamefukuzwa! Ila kama ilivyo kortini mtu anapewa muda wa kuappeal!
Acha dharau mpuuzi wewe ukichukuliwa hatua mtalalama unaongea maneno ya hovyo hovyo kukejeri na kutukana wakubwa.Umelelewa vibaya na wazazi wako pamoja na Chama chako.hivi kipara JAMANI MMESHINDA UBUNGE ASILIMIA 99 WABUNGE VITI MAALUMU HUWA WANATOKANA NA IDADI YA WABUNGE WA CHAMA...CHADEMA INA MBUNGE MMOJA WA HUKO RUKWA TENA WALIOUKUWEPO AKIWEMO MDEE HADI JPM PALE KAWE ALITAKA KULIA AKISEMA NILEETEENI GWAJIIMA LEO MNAWATAKA WA NINI JAMENI? BUNGE LENU HATA NDU GAY ALISHATANGAZA KWAMBA THIS TIME HAKUNA KAMBI YA UPINZANI MBONA MNAHAHA CHADEMA
MLISHAIUA IACHENI MANATAKA TENA IWE NA WABUNGE 20 SPIKA ATUMIE UBABE WAKE SAMBAZENI HIVYO VITI KWA KINA TLP NA WENZAO
BY THE WAY HILO NENO HAKI USIRUDIE TENA KULITAMKA KUWA NA AIBU
Tayari Wanasheria wa chama wako kaziniNi wazi mchezo uliotumika kuwaingiza wabunge wateuliwa akiwemo mfungwa kwenye bunge la Tanzania hauwezi kufumbiwa macho, sasa uangaliwe utaratibu wa kufungua mashtaka dhidi ya mechi nzima utafutwe uharamu au uhalali wake.
Kama CHADEMA wanajiridhisha kuwa kuna sahihi zimefojiwa,kuna mtu amehudhurisha majina bila ya idhini ya Chama,hilo ni kosa kubwa sana la jinai ni sawa na hela ya Chdema kutolewa benki kwa kutumia nyaraka feki ikiwemo mihuri ya Chama.
Je inawezekana kufunguliwa mashitaka dhidi ya wahusika ? Au wapo juu ya sheria na hawawezi kufunguliwa mashtaka ?
Hata kama imani ya kusikilizwa ni ndogo lakini historia huandikwa na kumbukumbu kuweka kuna walioshirki vita na Adolph Hitler mpaka miaka ya karibuni iliyopita wamefikishwa mahakamani.
Chupuchupu marais na viongozi wa Tanzania wapandishwa mahakamani na utawala huu wa Magufuli ,hivyo huko tuendako si ajabu akatokea au ukatokea uongozi utaoweza kuwafikisha viongozi waliopita kizimbani na kujibu mambo kama haya yanayotokea leo.
Chadema funguweni kesi.
Nikuulizenani kwa mfumo wa Mbowe kufukuza asiowataka, nani aliwahi kupewa siku 30 dys za kukata rufani. Tangu Zitto Kabwe, Juliana Shonza, Mkumbo n.k.Hivi ukihukumiwa jela halafu ukaambiwa unahaki ya kukata rufaa kwa hiyo utakuwa raia huru hata kabla ya rufaa yako kusikilizwa?
Kiutaratibu hao covid 19 wamevuliwa uanachama na vyeo kwa waliokuwa navyo
Kwa hiyo wameshindwa kumvua uanachama kama walivyo wahi kufanya kwa webgine.Ulitaka wamdhibiti kwa mamlaka yapi?
Mbunge wa kuchaguliwa anawakilisha wapigakura wake, hao viti maalum sharti majina yao yapelekwe na KM wa chama, jina la mbunge wa kuchaguliwa halipelekwi na KM.
Mkuu ushapewa buku 7??Pira ndio dk 45 za kwanza Halima team 1 vs kamati kuu 1!
Shida ni mahakama KESI YA NGEDERE UKAMPELEKEA NYANINi wazi mchezo uliotumika kuwaingiza wabunge wateuliwa akiwemo mfungwa kwenye bunge la Tanzania hauwezi kufumbiwa macho, sasa uangaliwe utaratibu wa kufungua mashtaka dhidi ya mechi nzima utafutwe uharamu au uhalali wake.
Kama CHADEMA wanajiridhisha kuwa kuna sahihi zimefojiwa,kuna mtu amehudhurisha majina bila ya idhini ya Chama,hilo ni kosa kubwa sana la jinai ni sawa na hela ya Chdema kutolewa benki kwa kutumia nyaraka feki ikiwemo mihuri ya Chama.
Je inawezekana kufunguliwa mashitaka dhidi ya wahusika ? Au wapo juu ya sheria na hawawezi kufunguliwa mashtaka ?
Hata kama imani ya kusikilizwa ni ndogo lakini historia huandikwa na kumbukumbu kuweka kuna walioshirki vita na Adolph Hitler mpaka miaka ya karibuni iliyopita wamefikishwa mahakamani.
Chupuchupu marais na viongozi wa Tanzania wapandishwa mahakamani na utawala huu wa Magufuli ,hivyo huko tuendako si ajabu akatokea au ukatokea uongozi utaoweza kuwafikisha viongozi waliopita kizimbani na kujibu mambo kama haya yanayotokea leo.
Chadema funguweni kesi.
Spika dhaifu na hovyooo kabisa huyu.Ni kweli inabidi ifunguliwe kesi
1. Ni nani aliyefoji na kuhalalisha nyaraka feki za uteuzi kuwa zilitoka chadema?
2.Kwa nini Ndugai amedanganya wananchi kuwa chadema ndio waliopeleka majina ya hao covid 19
Ndiyo maana mmekosa ubunge, inakuwaje mnawaita wenzenu majina mabaya kiasi hicho? Ningekuwa na mamlaka ningewatandika bakora wajinga nyie. Kwanza mmetuletea kibaraka ili awe rais tukawavumilia, sasa mnavuka mstari wajinga nyieCovid 19 waungane na waunga juhudi waliotelekezwa na ccm waunde chama chao waombe ufadhili ccm
Uhuni ufanywe na maccm halafu unapeleka kesi kwenye mahakama za maccm, hiyo ni akili au matope ?Ni wazi mchezo uliotumika kuwaingiza wabunge wateuliwa akiwemo mfungwa kwenye bunge la Tanzania hauwezi kufumbiwa macho, sasa uangaliwe utaratibu wa kufungua mashtaka dhidi ya mechi nzima utafutwe uharamu au uhalali wake.