Ndiyo maana mmekosa ubunge, inakuwaje mnawaita wenzenu majina mabaya kiasi hicho? Ningekuwa na mamlaka ningewatandika bakora wajinga nyie. Kwanza mmetuletea kibaraka ili awe rais tukawavumilia, sasa mnavuka mstari wajinga nyie
Walikuwa bize kuhakikisha upinzani hawaingii bungeni leo wapo bize kuhakikisha upinzani wanarudia bungeni sasa palikuwa na haja gani ya wizi,
Ushindi wa kishindo umegeuka shubiri
[/QUOTE
Nimecheka. Ni sawa na unapomtaliki mke wako na kusahau kuwa ndie anakulisha.