Wanasheria wa CHADEMA wana uchungu na taifa letu?

Wanasheria wa CHADEMA wana uchungu na taifa letu?

Tena nikukatishe tamaa kabisa kwa kukupa habari sahihi.Kwa taarifa sahihi ambayo itakuumiza ni kwamba CHADEMA ina wanasheria wengi zaidi ya hao tena vijana wadogo kuna akina Esther Daffi,Hekima Mwasipu,Mdeme na mentor wao kibao.

Sasa hii hoja ya ajabu ajabu kama hii haistahili kutolewa ikiwa unajua maana ya accountability.Badala ya kujiuliza tumefikaje hapa,sasa we are trying to evade responsibilities.Really?Chadema si watawala.

Jifunze kuelekeza hasira zako sehemu sahihi

Fanya research.Kusema kweli hoja hii haina umaarufu wa kitaaluma.I dont feel the intellectual vibrancy.Ina sifa zote za kufilisika

Bosi naomba upende kujibu hoja na sio bla bla,kwenye thread yangu sijataka kujua chadema kuna wanasheria wangapi au mentor wao ni nani?hoja hapa ni hawa wataalamu wa sheria kuguswa na kuanza sasa kuifungulia wao kesi serikali kwa manufaa ya umma.mbona wakina mtikila wamejaribu?Ben jaribu kuwa unaheshimu mawazo ya wengine if you want to prosper in political grounds.
 
Acha vitisho,Relax!

Mawazo ya kijinga yaliyojaa hila hayawezi kuwa determinant au litmus paper ya political carrier yangu.I'm i that desperate?Nah,You need to take a fresh air!
 
Kabla sijachangia kwenye mada matata hii naomba nikuulize maswali.
1. Ni lini umeanza kuwafahamu nguli hawa wa sheria
2. Unadhani kwa nini wakati huu ndio wameonekana kuwa ni wanasheria makini?
3. Unadhani kazi hizi wanazofanya incentives zake ni nini? wajua kwa nini wanafanya kazi kama timu?

Nitarudi

Kaka naomba unifumbue macho kutokana na maswali yako hapo juu.
 
Fanya utafiti binafsi kabla ya kupost, je unajua utaratibu wa namna ya kuendesha kesi zinazoihusisha serikali? Soma sheria zifuatazo: Government Proceedings Act 1967, National Prosecution Act 2008, Attorney General (Dicharge dicharge of Duties) Act. Licha ya mawakili binafsi kutoruhusiwa kutoa ushauri wa kisheria isipokuwa pale ambapo A.G ataona kuna umuhimu, kama ckosei Tundu Lissu alishawahi kushiriki kwenye jopo la mawakili nje ya nchi kwenye kesi ya City Water na kushinda, Kimomogoro alikua m/sheria wa TANAPA akaondoka kwa kukataa ufisadi. Sema lingine

kaka mimi naweza nisijue mambo ya sheria,that is why my threads got questions na sio statements.watu kama nyie ndio nnatakiwa kutupa majibu kwa mapana na marefu juu ya nini cha kufanya for the Nation's sake.sasa umequote provisions za sheria bila extension yoyote haitasaidia jukwaa.hapa lazima 2shauriane cha kufanya kuliko kutupiana mpira ndio mjadala unakuwa wa kujenga.
 
Tena nikukatishe tamaa kabisa kwa kukupa habari sahihi.Kwa taarifa sahihi ambayo itakuumiza ni kwamba CHADEMA ina wanasheria wengi zaidi ya hao tena vijana wadogo kuna akina Esther Daffi,Hekima Mwasipu,Mdeme na mentor wao kibao.

Sasa hii hoja ya ajabu ajabu kama hii haistahili kutolewa ikiwa unajua maana ya accountability.Badala ya kujiuliza tumefikaje hapa,sasa we are trying to evade responsibilities.Really?Chadema si watawala.

Jifunze kuelekeza hasira zako sehemu sahihi

Fanya research.Kusema kweli hoja hii haina umaarufu wa kitaaluma.I dont feel the intellectual vibrancy.Ina sifa zote za kufilisika
Mkuu hawa makada wa this CCM ni weupe kabisa kama yule LeMutuz na hoja ya serikali tatu. Lakini kwa kuwa huyu kada ameuliza, ni vizuri kumpa majibu mafupi sana ambayo nitamsaidia. Katika taratibu za mahakama kuna Prosecutors na defense Arttoneys . Kesi zote ulizozitaja EPA, UDA na Richmond ni za Jamhuri ambazo zipo chini ya office ya DPP zinazowakilishwa na Mwendesha mashitaka (watumishi wa Serikali ya CCM). Defense attorney wao wamejiari wenyewe au sekta binafsi na kazi zao ni kutetea watuhumiwa. I hope huyu kada ameelewa na atakwenda Lumumba kuwasaidia wenzake hasa Nape, Mwigulu, Ritz nk
 
Bosi naomba upende kujibu hoja na sio bla bla,kwenye thread yangu sijataka kujua chadema kuna wanasheria wangapi au mentor wao ni nani?hoja hapa ni hawa wataalamu wa sheria kuguswa na kuanza sasa kuifungulia wao kesi serikali kwa manufaa ya umma.mbona wakina mtikila wamejaribu?Ben jaribu kuwa unaheshimu mawazo ya wengine if you want to prosper in political grounds.
Baambie kijana mpe makavu
 
Chadema wana wanasheria makini kama Tundu lissu,Marando,prof.safari,kibatara,kichere,kimomogoro nk. Walioishinda serikali dhidi ya kesi za uchochezi,uchaguzi,ugaidi nk. Mawakili hawa wamewatetea kwa weledi makada na viongozi wao dhidi kesi hizo nyingi zikiwa za kubabikizwa.
Swali: je, mawakili hawa kwa nini wasijitoe mstari wa mbele kuutetea umma dhidi ya kesi kama UDA,mabilioni uswis nk? Kwa nini wanashindwa kutumia taaluma zao kuutetea umma ili tuwakabidhi kweli nchi kama wakombozi wa taifa?
Naomba majibu from material subject above na sio majibu ya kikadakada kwani hata mimi kama mpenda mabadiliko my right to ask questions is reserved.
Hizo ulizotaja ni kesi za JINAI, ambazo ni Jamhuri tu ndiyo ina mamlaka ya kushitaki kwa niaba ya wananchi; vinginevyo kama unataka kushitaki kesi ya jinai inabidi upate kibali maalum kutoka kwa Mwendesha Mashtaka wa Serikali - DPP (Dr. Feleshi)

Kesi wanazosimamia Mawakili Wasomi wa CHADEMA ni kesi za JINAI - ila wanakuwa wakitetea washitakiwa (wateja wao) na kesi hizo hushitakiwa na Jamhuri.

Kama hujaelewa, sema tafadhali.
 
hata mabomu na risasi za moto tutatumia mkikaidi tumesha choka sasa
Bavicha kwa ndoto za ajabu! teh teh teh,huo ujinga kakueleza nani kuwa CCM itatoka madarakani?
 
una thumbs up kitu gani? wanasheria wote ni wezi,siku ukiingia kwenye anga za mahakama ndio utawajua ni watu wa aina gani,wanawapa rushwa mahakimu,majaji na makarani kuhujumu haki za wanyonge,huko kwenye siasa longolongo za bongo wametarget kitu. Wanasheria ni watu wa motoni
thumbs up kwa wanasheria wa CHADEMA maana wameonyesha wanasheria wa serikali ni vilaza
 
the banker ameanzisha uzi akihitaji mawakili wa chdm waende mbali zaidi kwa kushughulikia mambo ya kitaifa. kuna mambo mengi ya kitaifa yanahitaji nguvu za wanasheria shupavu. kosa la banker ni lipi!? nashangaa kuona akina ben saanane wanajibu kwa matusi, dhihaka na majigambo! vijana tunaelekea wapi? kwa nini siasa zetu hazina ustaarabu? kutofautiana vyama kwa nin kunatufanya kujadili mambo ya kitaifa yanayo tuunganisha? shame on u guys! ben nimekushauri sana na sintochoka kufanya hivyo. punguza jazba braza! tafadhali punguza jazba ktk mijadala yako. ukifanya hivyo utafika mbali. ni ushauri tu
 
Bosi naomba upende kujibu hoja na sio bla bla,kwenye thread yangu sijataka kujua chadema kuna wanasheria wangapi au mentor wao ni nani?hoja hapa ni hawa wataalamu wa sheria kuguswa na kuanza sasa kuifungulia wao kesi serikali kwa manufaa ya umma.mbona wakina mtikila wamejaribu?Ben jaribu kuwa unaheshimu mawazo ya wengine if you want to prosper in political grounds.

Huwezi kushinda kesi Nchii hii hasa hizo za Ufisadi kama DPP ajapenda. Kama huamini Kamuulize HOSEA, Sasa chadema mashtaka hayo yatapitia wapi na DPP hataki?
 
Wazo lako ni zuri ndugu yangu ila mpaka uipeleke kesi mahakamani....kwa wakili makini anataka ajiridhishe kuwa ana asilimia kubwa ya kushinda....umakini huo ni pamoja na kuwa na uwezo wa kupata facts na vielelezo vyote vya kumsaidia kuendesha kesi....kwa sheria za nchi yetu nafikiri swala la uchunguzi kiasi kikubwa linafanywa kisheria na jeshi la polisi, takukuru then mwendesha mashtaka ndio anapeleka kesi.....sio rahisi kwa wakili binafsi kuweza kupata vielelezo vyote hivyo vya kumsaidia kushinda kesi.....kuna sehemu atakwama tu

Ndugu yangu hata uwe na vielelezo vipi kama DPP hataki basi Hataki. Muulize Hosea.
 
Acha vitisho,Relax!

Mawazo ya kijinga yaliyojaa hila hayawezi kuwa determinant au litmus paper ya political carrier yangu.I'm i that desperate?Nah,You need to take a fresh air!

Nadhani wewe umeibinafsa chadema nafsini kwako na kudhani wewe ni mwanachama peke yako,kumbe wengine unaowajibu kunya ni wanachama hivyo hivyo.honest critism is there to stay kwa ajiri ya ujenzi wa chama.
 
Hizo ulizotaja ni kesi za JINAI, ambazo ni Jamhuri tu ndiyo ina mamlaka ya kushitaki kwa niaba ya wananchi; vinginevyo kama unataka kushitaki kesi ya jinai inabidi upate kibali maalum kutoka kwa Mwendesha Mashtaka wa Serikali - DPP (Dr. Feleshi)

Kesi wanazosimamia Mawakili Wasomi wa CHADEMA ni kesi za JINAI - ila wanakuwa wakitetea washitakiwa (wateja wao) na kesi hizo hushitakiwa na Jamhuri.

Kama hujaelewa, sema tafadhali.

well quoted mkuu,sasa hatuna altenative?hali hii mpaka lini?
 
Mkuu hawa makada wa this CCM ni weupe kabisa kama yule LeMutuz na hoja ya serikali tatu. Lakini kwa kuwa huyu kada ameuliza, ni vizuri kumpa majibu mafupi sana ambayo nitamsaidia. Katika taratibu za mahakama kuna Prosecutors na defense Arttoneys . Kesi zote ulizozitaja EPA, UDA na Richmond ni za Jamhuri ambazo zipo chini ya office ya DPP zinazowakilishwa na Mwendesha mashitaka (watumishi wa Serikali ya CCM). Defense attorney wao wamejiari wenyewe au sekta binafsi na kazi zao ni kutetea watuhumiwa. I hope huyu kada ameelewa na atakwenda Lumumba kuwasaidia wenzake hasa Nape, Mwigulu, Ritz nk

kaka mimi sio kada,hata hao akina ritz,nape nk hawanijui labda uniunganishe nao kama mnawasiliana.
 
Kaka bora umwambie,huyu nilikuwa namsikia tu sijawahi kuona anavyokurupukia tu watu bila hoja.chadema must look propagandists wao kabla ya kuwapitisha.kuna siku alitema pumba kwenye mjadala wa kagame na tz akawa anamsifia kagame eti udikteta wake ndo chachu ya maendeleo rwanda.watu wakamponda kwa kusosa uzalendo akabadilika kama kinyonga kumponda kagame.ana ndimi mbili huyu mtu.
 
Back
Top Bottom