Ni wafanyabiashara kama wengine!!!!
Hivi na msando ni mwanaaheria nguli.?
Kwahiyo CDM wanakata mpunga mrefu sana? au
Yap...mpaka ZZK akamwamini si haba.[/
Ndo unavyipima unguli wa mwanasheria.?
Yap...mpaka ZZK akamwamini si haba.[/
Ndo unavyipima unguli wa mwanasheria.?
Ni rekodi za kesi anazoshinda mwanasheria ndio zinampa unguli haswa kama tata na zinavuta watu wengi!!!!
Lakini pia huwezi chukulia poa yeye kuaminiwa na mtu ambaye angeweza kupata wengine!!!!