EMT na Anhauser sheria ya 2010 sio inayohusu gharama za uchaguzi?
Sheria sio regulation, hakuna kitu kama hicho, sheria na regulations ni vitu viwili tofauti na huwezi kuyatumia hayo maneno loosely loosely na interchangeably namna hiyo, sheria huandikwa na Bunge, sio NEC, wewe ni mwanasheria, umakini ni muhimu.Sheria ya Maadili ya Uchaguzi ya Mwaka 2010 ni regulations tuu