Wanasheria wa JF mnasemaje kuhusu Hukumu ya Lema?

Wanasheria wa JF mnasemaje kuhusu Hukumu ya Lema?

EMT na Anhauser sheria ya 2010 sio inayohusu gharama za uchaguzi?

Kinachozungumzwa hapa ni "Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2010". Haya maadili ambayo yametengenezwa na NEC kwa kupitia mamkala iliyopewa na Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 1985.
 
Great Thinkers,

Je tunaweza kupata hukumu yenyewe kama ilivyosomwa na hakimu?

Naona tunapoteza muda mwingi kujadili hukumu ambayo hatujaisoma.
 
Sheria ya Maadili ya Uchaguzi ya Mwaka 2010 ni regulations tuu
Sheria sio regulation, hakuna kitu kama hicho, sheria na regulations ni vitu viwili tofauti na huwezi kuyatumia hayo maneno loosely loosely na interchangeably namna hiyo, sheria huandikwa na Bunge, sio NEC, wewe ni mwanasheria, umakini ni muhimu.

Kuhusu whether alichofanya Lema ni "illegal practice" kumbe definition zako umezitoa kwenye kanuni, sidhani kama kuna jaji anaweza kutangua Ubunge wa mtu bases on some kanuni za maadili.

Hizo regs sikuwa nataka nakala zake, ila nilikuwa nataka kuelewa hiyo "Sheria ya Maadili ya 2010" ndio kitu gani hicho kwa lugha rasmi. Kumbe I was right, hakuna kitu kama hicho.

EMT, usitoe ma speculations na ma analysis marefu ya sheria zilizotumika wakati hujasoma hukumu, hatujui kilichojiri.
 
That is illegal campaign, sec 108 a, na adhabu ni kumvua mtu ubunge lakini sio kumwondolea haki ya kushiriki uchaguzi mdogo.
 
CHAGUZINYINGI CCM wamekuwa wakitumia ubaguzi wa dini na kabila kama sehemu ya kampeni zake.waliwahi kusema CUF CHAMA CHA WAISLAMU, DR Slaa kuwa ni padre pia wakamuita mzinzi, Nchi haiwezi kutawaliwa na MCHAGA, CDM Chama cha wachaga nk. sheria inasemaje kwa upande ccm? je mnakumbuka msg ilyo sambazwa kupita mtandao wa voda karibu nchi zima halafumaneno sawa na nahayo yakisemwa mgombea wccm kule songea. nawasilisha.
 
Hukumu hii ni kielelezo ya jinsi mahakama isivyohuru dawa ni kukata rufaa ili kumbukumbu ziwekwe sawa.
 
Hukumu hii ni kielelezo ya jinsi mahakama isivyohuru dawa ni kukata rufaa ili kumbukumbu ziwekwe sawa.
 
Back
Top Bottom