Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.

Jane mambo, baba yupo?
 
Sehemu kubwa ya magomvj ya sisi Watanzania husababishwa na kitu kimoja tu, ambacho ni ugumu wa kusema neno SAMAHANI.
Hata sijui kwanini tunakuwa hivi? Hata humu JFkuna shida hiyo, mtu yuko radhi msiongee tena, ili tu akwepe kusema SAMAHANI.
Iko wazi kuwa Jide ana kazi ngumu katika hii kesi, kwa sababu Gadner hakumtaja kwa jina, hivyo kuna shughuli ya kujithibitisha kama ni yeye aliyezungumzwa.
Sasa kwanini wafike huku kote? Wakati Gadner anajua kama pale alimzungumzia Jide? Ugumu kusema neno SAMAHANI tu?
Sijui tunatengeneza jamii ya aina gani? Hasa humu kwenye mitandao, kila mtu anajifunza kuwa kiburi na kuonesha umwamba kwa mwenzie?
Hakuna tena kupingana kwa hoja, ila kutukanana na kudhalilishana tu. Tena wengi wa watu wa hivi hawana hata muda wa kujiongeza.
Hasomi vitabu na wala hajiongezi kielimu, ila yeye yuko hapa kukera watu hasa wanaoonekana wana heshima na kuaminiwa. Na hata wakijua wamewakosea hawataki kusema SAMAHANI.

Ova
 
Huyu dada anatokea KANDA MAARUMU....

Kule vita ni vita (fita ni fita) muraa. Hawezi kukaa pembeni na kutafuta mwanaume mwingine kuendelea na maisha anataka kumkomoa aliyemuacha. Mwenzie Gadner karudisha kazi yake ya zamani, anaongoza jahazi kama kawaida Captain na weledi wa hali ya juu kwenye kipindi
Harroo, uko sawa

Rrakini hata kama bhita ni bhita murra... sio kirra wakati wa arrubamu urrete bhita!!

She is sick to her tomach
 
Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.

Huyu dada anawaimba wenzie akisifiwa anaona raha, wakimjibu anaanzisha nongwa... hatari sana.

Ila kama nakumbuka vizuri kwenye ile clip jamaa alikuwa anajibu swali ambalo jide alitajwa, labda cyber law ya sikuizi itasaidia. Plus kwenye barua haionekani huo msamaha unatakiwa uombwe ndani ya muda gani.
 
Gadner anaye mtoto mkubwa tu na nadhan alimjaza mimba demu mwingine karibuni nilimuona na bint mjamzito viwanja,hiyo statement yako labda vice versa is true
Unless unataka kuonekana mshindi katika hoja hii, Swali lilikuwa juu ya mtaraka, Gadner hana mtaraka zaidi ya JD. Mtoto (Mkubwa) unayemzungumzia alimpata Mwanza kabla ya kuwa na Jd wala hajapata kuishinaye au kuwa na ugomvi naye wa kimahusiano
 
hiyo barua haijakaa ki ofisi nahisi uzushi hivi,kwa hiyo kumbe anataka abwe radhi alichosema mzee hajawahi kifanya hataara moja[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]
 
Unless unataka kuonekana mshindi katika hoja hii, Swali lilikuwa juu ya mtaraka, Gadner hana mtaraka zaidi ya JD. Mtoto (Mkubwa) unayemzungumzia alimpata Mwanza kabla ya kuwa na Jd wala hajapata kuishinaye au kuwa na ugomvi naye wa kimahusiano
Issue ni kuwa Gadner hana uwezo wa kuzalisha ndio nikatoa evidence kuwa anao
 
Bi Dada kashaliwa hapo hamna kesi ya kujibu, ngoja aende mahakamani atashangaa Na roho yake.
 
Sawa Jay Dee, aombe tu radhi yaishe maana ukitaka akulipe kwa kukuzalilisha atakulipa nini ilihali hapo alipo pangupakavu?
 
Hii nayo imekuwa habari ya sihasa? Au ndio wanataka kutuzoa mitazamo yetu tusahau Lugumi? Kama Sukari walivyoitengeneza?
 
Back
Top Bottom