mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,390
Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.
Harroo, uko sawaHuyu dada anatokea KANDA MAARUMU....
Kule vita ni vita (fita ni fita) muraa. Hawezi kukaa pembeni na kutafuta mwanaume mwingine kuendelea na maisha anataka kumkomoa aliyemuacha. Mwenzie Gadner karudisha kazi yake ya zamani, anaongoza jahazi kama kawaida Captain na weledi wa hali ya juu kwenye kipindi
Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.
dada kajidhalilishaIla na yeye anamuimbaga Sana msela, acha jamaa amkojoze na kumkojolea tu
Unless unataka kuonekana mshindi katika hoja hii, Swali lilikuwa juu ya mtaraka, Gadner hana mtaraka zaidi ya JD. Mtoto (Mkubwa) unayemzungumzia alimpata Mwanza kabla ya kuwa na Jd wala hajapata kuishinaye au kuwa na ugomvi naye wa kimahusianoGadner anaye mtoto mkubwa tu na nadhan alimjaza mimba demu mwingine karibuni nilimuona na bint mjamzito viwanja,hiyo statement yako labda vice versa is true
Issue ni kuwa Gadner hana uwezo wa kuzalisha ndio nikatoa evidence kuwa anaoUnless unataka kuonekana mshindi katika hoja hii, Swali lilikuwa juu ya mtaraka, Gadner hana mtaraka zaidi ya JD. Mtoto (Mkubwa) unayemzungumzia alimpata Mwanza kabla ya kuwa na Jd wala hajapata kuishinaye au kuwa na ugomvi naye wa kimahusiano
Sio lazima upate mimba inategemea na kizazi chakokukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
HaweziHakuna jibu zuri kama kukaa kimya,angekaa kimya tu