Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Tatizo lipo katika mantiki ya kumuunganisha Jide na neno kukojozwa, kama iwapo ukabahatika kuisikiliza ile clip hiyo kauli ya kukojozwa Jide hajatajwa. Ila Jide amepata hisia tu kwamba yeye ndiye mlengwa wa ile kauli ya kukojozwa. Je kama iwapo Gadna akathibitisha kwamba alimaanisha mengine, Jide ataficha wapi usowe?Unampa pole ya nini?
We huna utu kabisa?
Yani washa achana anamguata fuata wa nini?
Kamthalilisha sana!
Apelekwe mahakamani na kesi ya Tort!
Mie naona afadhi jide angejitokeza kwanza kukanusha hajawahi kukojozwa halafu kazi iwe kwa gadner kuthibitisha lakini kutaka kuombwa radhi kwa kustareheshwa? Sijawahi kusikia popoteTatizo lipo katika mantiki ya kumuunganisha Jide na neno kukojozwa, kama iwapo ukabahatika kuisikiliza ile clip hiyo kauli ya kukojozwa Jide hajatajwa. Ila Jide amepata hisia tu kwamba yeye ndiye mlengwa wa ile kauli ya kukojozwa. Je kama iwapo Gadna akathibitisha kwamba alimaanisha mengine, Jide ataficha wapi usowe?
Hapa katika haya marumbano naona kama anatafuta kiki ya kuunyanyua mziki wake. Kuna mambao mengi sana ambayo anatakiwa ayafanye kwa kipindi hiki baada ya kuachana na Gadna ili aweze kusonga mbele.Mie naona afadhi jide angejitokeza kwanza kukanusha hajawahi kukojozwa halafu kazi iwe kwa gadner kuthibitisha lakini kutaka kuombwa radhi kwa kustareheshwa? Sijawahi kusikia popote
Mh! huyu Kigwangala nae anakomaliaga issue za ajabu ajabu tu, haya mambo aachiwe mwenyewe Jide aamue aatakavyo sio serikali kutia mguu hapo, mbona Ummy mwalimu hajasema kitu nae ni mwanamke? Jide alishindwa kufunga mdomo matokeo Gadna kamaliza maneno watajuana wenyewe.
kabla ya kukurupuka inabidi watafutwe wataalam wa kiswahili..... watufafanulie kama neno "kukojozwa,kukojoza" lipo kwenye msamiati wa kiswahili na kama lipo tujue maana yake.....ukubwa wa neno ama vepe! Unaweza kuta hilo neno ni kumuimbia mpenzi wako nyimbo kabla hajalala
Yaweza kuwa so obvious kwako, si kwenye mizania ya sheriaThat was so obvious alikua anamsema nani [emoji57] [emoji57] [emoji57]