Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

kukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
Kama unadhani kila kitu kinawezekana kirahisi hivyo kampe wewe
 
Tatizo lipo katika mantiki ya kumuunganisha Jide na neno kukojozwa, kama iwapo ukabahatika kuisikiliza ile clip hiyo kauli ya kukojozwa Jide hajatajwa. Ila Jide amepata hisia tu kwamba yeye ndiye mlengwa wa ile kauli ya kukojozwa. Je kama iwapo Gadna akathibitisha kwamba alimaanisha mengine, Jide ataficha wapi usowe?
Soma barua ya wakili, anatakiwa aombe radhi kwa kutamka maneno yapi?
Hayo ya mwanzo ambayo cc hatuyajua nenda kamtafutie wakili mwingine.
 
Tusipowakojoza wanaanzisha thread kua wanaume wa siku hizi KIEPE YAI ni wavivu mara vibamia na tunasemwa hadharani sasa Gadna kakomaa KAMKOJOZA binti mnataka asiseme.
 
Mimi katika maisha yangu.
Sishindani na mwanamke wa namna yeyote yule.
Dada yangu, jirani yangu,mpenzi wangu, mke wangu, niliosoma naye au mfanyakazi mwenzangu.
Hapo gadner atachezewa mpaka akione cha mtema kuni
Mwanamke atatumia pesa pengine hata gusa account yake
Gadner atatumia pesa yake iliyopo kwenye account
Ajifanye mjinga tu, awe shujaa. samahani nilikengeuka kusema yale maneno
 
kukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
yeye alikuwa hakojoi ndiyo maana hakusema alikojoa miaka 15 aliishia kukojolesha tu sasa kifaa kilichotumika kukojolesha mimi na wewe hatuwezi kukijua labada Gardner atoe ufafanuzi kwenye hili.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
That was so obvious alikua anamsema nani [emoji57] [emoji57] [emoji57]
So obvious ya mahakamani ni tofauti sana. Ku prove beyond any reasonable doubt kwamba alimlenga Jide si rahisi.
Anaweza kurejea sababu za kuachana maana Jide alidai si mwaminifu kwenye ndoa. Kwa hiyo anaweza kuwa alimaanisha mwingine!
 
Hamna kesi hapo. Wakili hawezi kukataa hela iliyojileta!
 
Mbona gadna hajawah lalamika juu ya nyimbo za jd

Ifikirishe akili yako vizuri. Nyimbo ziko very general huwezi kuhisi anasemwa nani especially nyimbo za mapenzi ambazo anaimba Jide.
 
Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.
Alilizwa kuhusu kuwa na ugomvi na JD, ndio akajibu hana ugomvi naye kwani amemkojoza almost 15 yrs... Sasa unataka jina litajwe vp... Maana hata ukiwa shule Jina(Lowasa) unalitaja Mara ya kwanza then ukitaka kutaja tena unatumia HE...

unajifanya kajuaji kumbe Mbombo tu
 
Lakini JD si wapo wengi ? mfano, JD =Jermain Dupri
 
kukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
Hivyo ni vitu viwili tofauti. Kukojoa na kushika mimba.
Labda nikuulize wale wanaobakwa na kushika mimba hivi huwa wanakojoa?!!
Rudia notisi zako zaBiology O level...
 
Achana na mambo yakijinga "hapa kazi tuu"jpm kashasema so kma mna muda wa kupoteza ni bora mkalime tuu.
Maana tunawasumbua wana kesi nyingi za msingi za kudhughurikia
 
Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.
kumbe barua inatakiwa iandikwe kwenye karatasi ya mistar?
 
Back
Top Bottom