Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kesi hapo. Kukojoza ni neno vague. Ukimpeleka mtoto nje kukojoa unasemaje? Umeenda kumkojozaJe ikitokea taasisi inayotetea masuala ya jinsia ya kike na wanawake,mfano TAMWA,wakapeleka shauri mahakamani kuhusu kudhalilishwa kwa mwanamke.gadna hawezi kutwa na hatia?.nauliza tu, Mimi sio mjuvi wa sheria.
Hii sinema sijui atakufa sterling au kubwa la maadui....teh teh tehHahahahaha.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nasubir mwisho wa sinema nani sterling
Basi sawa.Hamna kesi hapo. Kukojoza ni neno vague. Ukimpeleka mtoto nje kukojoa unasemaje? Umeenda kumkojoza
Mzee hivi kukojoza maanake Nini???Mambo mengine michosho na vichekesho tupu
hakuna neno 'obvious' linapokuja suala la sharia...kwenye sharia ni strictly evidence only.That was so obvious alikua anamsema nani [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.
Mawakili wenyewe hawako makini
kwani kesi inahusu kujoleshwa au inahusu kudhalilishwa? proof ya jide ni kudhalilishwa in public kwa kutamka neno kukojoleshwa kitakachofuata ni gadner kuprove kama kweli alikojolesha na neno kukojoleshwa kama halidhalilishi. kama kweli kuna kesi time will tell.Jide ndo atatakiwa kuthibitisha kuwa Hakukojoleshwa kwa kuwa Mlalamikaji ndio mwny jukumu la kuthibitisha kosa!
kwani kesi inahusu kujoleshwa au inahusu kudhalilishwa? proof ya jide ni kudhalilishwa in public kwa kutamka neno kukojoleshwa kitakachofuata ni gadner kuprove kama kweli alikojolesha na neno kukojoleshwa kama halidhalilishi. kama kweli kuna kesi time will tell.
wataliwa PO in the daylight hawataamini, hiyo demand notice inaflaws nyingi tu.Mawakili wenyewe hawako makini
Mwanzoni mwa barua jina limeandikwa GARDNER G. H ABASHI (Angali nafasi kati ya "H" na "A"
Baadaye kidogo limeandikwa Habashi bila kuacha nafasi.
Kisheria hao ni watu wawili tofauti na sijui wamemwandikia yupi?
yeah hajamtaja ndiyo lakini hivi Gardner aliamka tu from nowhere akatamka amekojolesha huyo mtoto kwa nyundo 15, lazima kunachanzo, anyway jurists wajide wanajua watahandle vipi maana hii ni defamation case very hard to prove.Gadna alikuwa na Vikojoleo kadhaa anavyovikojolesha kwa zaidi ya Miaka 15 na Moja ya Matatizo yaliyopelekea Talaka yao ni wingi wa Vikojoleo vilivyokuwa vinakojoleshwa na Gadna, JD akaomba talaka kwa kadhia hiyo iweje ajihisi ni yeye peke yake ndio alikuwa anakojoleshwa, jee wakitokea wengine wengi kuthibitisha ni wao? hakuna alipotajwa jina iweje ajihisi yeye?
Je ikitokea taasisi inayotetea masuala ya jinsia ya kike na wanawake,mfano TAMWA,wakapeleka shauri mahakamani kuhusu kudhalilishwa kwa mwanamke.gadna hawezi kutwa na hatia?.nauliza tu, Mimi sio mjuvi wa sheria.
tuliza akili andika vitu na ila uhalisia wake.kukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
yeah hajamtaja ndiyo lakini hivi Gardner aliamka tu from nowhere akatamka amekojolesha huyo mtoto kwa nyundo 15, lazima kunachanzo, anyway jurists wajide wanajua watahandle vipi maana hii ni defamation case very hard to prove.
Kabisa mkuu, kwenye sheria kuna "beyond any reasonable doubt"hakuna neno 'obvious' linapokuja suala la sharia...kwenye sharia ni strictly evidence only.