Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Ze ndi ndi ndi dodi ndi.. Komando atashinda ila G atakuwa kashamkojoza kwa miaka 15. Jf inanipa raha sana
 
Je ikitokea taasisi inayotetea masuala ya jinsia ya kike na wanawake,mfano TAMWA,wakapeleka shauri mahakamani kuhusu kudhalilishwa kwa mwanamke.gadna hawezi kutwa na hatia?.nauliza tu, Mimi sio mjuvi wa sheria.
Hamna kesi hapo. Kukojoza ni neno vague. Ukimpeleka mtoto nje kukojoa unasemaje? Umeenda kumkojoza
 
Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.
[emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jide ndo atatakiwa kuthibitisha kuwa Hakukojoleshwa kwa kuwa Mlalamikaji ndio mwny jukumu la kuthibitisha kosa!
kwani kesi inahusu kujoleshwa au inahusu kudhalilishwa? proof ya jide ni kudhalilishwa in public kwa kutamka neno kukojoleshwa kitakachofuata ni gadner kuprove kama kweli alikojolesha na neno kukojoleshwa kama halidhalilishi. kama kweli kuna kesi time will tell.
 
Gadna alikuwa na Vikojoleo kadhaa anavyovikojolesha kwa zaidi ya Miaka 15 na Moja ya Matatizo yaliyopelekea Talaka yao ni wingi wa Vikojoleo vilivyokuwa vinakojoleshwa na Gadna, JD akaomba talaka kwa kadhia hiyo iweje ajihisi ni yeye peke yake ndio alikuwa anakojoleshwa, jee wakitokea wengine wengi kuthibitisha ni wao? hakuna alipotajwa jina iweje ajihisi yeye?
 
Mawakili wenyewe hawako makini

Mwanzoni mwa barua jina limeandikwa GARDNER G. H ABASHI (Angali nafasi kati ya "H" na "A"

Baadaye kidogo limeandikwa Habashi bila kuacha nafasi.

Kisheria hao ni watu wawili tofauti na sijui wamemwandikia yupi?
wataliwa PO in the daylight hawataamini, hiyo demand notice inaflaws nyingi tu.
 
Gadna alikuwa na Vikojoleo kadhaa anavyovikojolesha kwa zaidi ya Miaka 15 na Moja ya Matatizo yaliyopelekea Talaka yao ni wingi wa Vikojoleo vilivyokuwa vinakojoleshwa na Gadna, JD akaomba talaka kwa kadhia hiyo iweje ajihisi ni yeye peke yake ndio alikuwa anakojoleshwa, jee wakitokea wengine wengi kuthibitisha ni wao? hakuna alipotajwa jina iweje ajihisi yeye?
yeah hajamtaja ndiyo lakini hivi Gardner aliamka tu from nowhere akatamka amekojolesha huyo mtoto kwa nyundo 15, lazima kunachanzo, anyway jurists wajide wanajua watahandle vipi maana hii ni defamation case very hard to prove.
 
Je ikitokea taasisi inayotetea masuala ya jinsia ya kike na wanawake,mfano TAMWA,wakapeleka shauri mahakamani kuhusu kudhalilishwa kwa mwanamke.gadna hawezi kutwa na hatia?.nauliza tu, Mimi sio mjuvi wa sheria.

We unadhani kwanini mpaka saivi hao TAMWA hawajatoa tamko lolote?? Wanaona hili jambo halina mantiki yoyote ilee
 
yeah hajamtaja ndiyo lakini hivi Gardner aliamka tu from nowhere akatamka amekojolesha huyo mtoto kwa nyundo 15, lazima kunachanzo, anyway jurists wajide wanajua watahandle vipi maana hii ni defamation case very hard to prove.

'...very hard to prove...' sentensi yako hii Mwishoni inamaanisha umenielewa! Aksantum!
 
Matusi ya kwenye wimbo wake na interview zake za kumponda Gadna, na Gadna akakaa kimya hakumjibu, ila leo Gadna kampiga neno moja tu imekua issue, huyu dada anashauriwa vibaya.
 
Back
Top Bottom