Wanasheria wa Lissu hawajui suala la muda katika kumaliza kesi

mihapase

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2024
Posts
1,635
Reaction score
1,720
Mawakili wanaojiita WASOMI wa CHADEMA wanashindwa kugundua hilo,
kesi kila siku mapingamizi hayaishi kesi itaishaje jamani
hawajui value ya muda katika kesi ndio linawa cost mwaka utaisha wapo kwenye mapingamizi kesi haijaanza halafu wanakuja kulaumu mahakama wakati wanashindwa kucheza na muda

Soma pia:
 

..Na mawakili wa serikali hawajui thamani ya muda?

..kwanini hawataki kumaliza kesi ya TL ili wakashughulikie kesi nyingine zilizolundikana mahakamani?

..au kwanini wanafungua kesi za uongo dhidi ya TL huku wakiwaacha wahalifu wakitamba bila kufikishwa mahakamani?
 
Kwenye suala hilo mawakili wa lisu siyo waamuzi. Mahakama ndiyo inayoamua. So suala la muda unaliona ww ila Mahakama ina taratibu zake kwenye kutoa maamuzi ambazo ziko nje ya uwexo wa mawakili wa lissu
 

Unadhani utajua wewe haya vyema zaidi kuliko wao?
 
1.Kwani TL siyo mtuhumiwa wa uhalifu?
2.unataka nani atuhumiwe kuwa mhaini ndo uone kuwa hajaonewa?
3. lijitu linatanua maudenda kuwa litakinukisha mara litaasi, unajua ni wangapi wangepoteza maisha?
mara nyoko nyoko nyoko uchaguzi, linamamlaka gani ya kuzuia haki za watu kupiga kura?

WATANZANIA WANAHITAJI KATIBA TENA KATIBA BORA ITAKAYOKIDHI MAHITAJI YA SASA NA BAADAYE, lakini si kwa kutumia njia waliopitia majirani zetu kenya au njia wanayotaka kutumia HECHE NA KIROPO ROPO MAUDENDA
 
Unashauli njia gani itumike kuwalazimisha ccm kukubali kuleta katiba mpya
 
hakuna kesi ya uongo anayo kesi ya kujibu
 
kaka umemaliza anyebisha hayo usemayo naye ni mhaini tu
 
We unaangalia muda wenzako wanaona mbali.Mapingamizi yanasaidia kutengeneza defence na grounds of Appeal
 
ewe
W
Wewe ni unajiona mjanjaaaa ila ni utopolo tuu
 
Unashauli njia gani itumike kuwalazimisha ccm kukubali kuleta katiba mpya
Hadi sasa ccm imeishaweka utaratibu wa kuleta katiba bora zaidi..siyo huu mfumo wa kupata katiba ndani ya miezi miwili..

KAMA HAMUWEZI VUMILIA KATENGENEZENI KATIBA YENU HUKO BUNGE LA ULAYA
 
Wako kwenye mfumo tayari
 
Mbona mnahangaika nao sasa
 
We unaangalia muda wenzako wanaona mbali.Mapingamizi yanasaidia kutengeneza defence na grounds of Appeal
kesi kwanamna hiyo itaisha mwakani hata wakija kushinda haitakuwa imewasaidia
 
lost s..pem
 
Kwa hiyo wewe kanjanja una akili kuliko wao?
 
Haya ma kesi kesi nani hajui kwamba yanapikwa kwa kolabo la kizimkazi, msajili, police na mahakama.

Lissu hapo alipo anajua anashindana na kolabo zaidi ya nne. Kizuri zaidi Lissu ana umma wa watanzania nyuma yake kumpa nguvu and of couse Mungu naye husimama upande wa haki na hii ni tangu uubwaji wa ulimwengu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…