Hili la RA na RM linanifanya niamini kabisa kuwa nchi hii ina mafisadi wengi na ndo maana kila anayethubutu kumsema mwenzake naye anamlipulia la kwake. Si mnakumbuka ya Kk. Hosea wa PCCB, alijaribu kuwakosoa wabunge jinsi wanavyoifisidi nchi hii nao wakamlipua na ufisadi wake wa RICHMOND, nk. Mengi naye (fisadi mwingine) kamgusa R. Aziz naye kamlipua na ufisadi wake.
Na hili ndilo linalomfanya KIKWETE asite kuwashughulikia hawa mafisadi WENZAKE akina ROSTAM, KARAMAGI,nk.ili wasije wakamharibia. Si mnakumbuka hata lile la LOWASA hadi akajiudhuru KIKWETE alisema ni AJALI YA KISIASA!!!
Lakini kwa haya yote yanayotokea ninajifunza kiti kikubwa sana kutoka kwa MZALENDO namba moja wa nchi hii, DK. WILBROAD SLAA kuwa huwenda ndiye mtu safi pekee aliyepo katika nchi hii. otherwise angeisha lipuliwa.
MTU SAFI HAWEZI KUTOKA CCM.