Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Status
Not open for further replies.
kaeni mkao wa kula muda si mrefu tutawapa full news ya leo,duh Mengi nomaa
 
Kuna news kule kwa Michuzi Mwanasheria wa Mengi, Michael Ngallo ndo amemwakilisha kujibu shutuma za RA.Wapiganapo mafahali wawili ziumiazo ni nyasi.Yetu macho na masikio....teh teh teh teh.
 
mwenzenu najiuliza hivi katika nchi yetu kweli kuna Good Governance? au bora utawala. je waziri aliyepewa dhamana ya kusimamia utawala bora anfanya kazi yake sawasawa?

Mambo yanaenda hovyo tu,natamani mwalimu angerudi akachungulia tu nadhani kuna baadhi ya watu wangelambwa hanzarani hadharani.
 
Wana JF vp? Habari inatokea Dar katikati kabisa ya jiji tunashindwa kuinana live, je ingekuwa kule aliko Mrisho Mpoto (Mjomba)? Kiroboto kama uko karibu tupe update za mashambulizi ya Mengi.
 
Hiii Sasa kali kujibishana kusipo Pungua je matokeo yake yatakuawaje?Hii ni Mbaya sana Vyombo Husika Vichukue Hatua
Ila kwa Huyu Mweshimiwa Rostam Kajimix kwa kutokujibi Hoja badala yake anajibizana ni Kama Mfano Rostam kasema Sawa mi Fisadi ila wewe Fisadi pia
Mbona Mweshimiwa hakuona Sababu ya Kumjibu Dr Slaa????/
 
vipi wakubwa??
mbona kimya jamani, mambo hayajawa kama tulivyotarajia nini
 
Kuna habari kwamba Mengi atakutana na waandishi wa habari leo Jumatatu saa 7 mchana.

Mkuu INVISBLE vipi huko? Au tangu jana wataifishe kile kidubwasha chako cha kukuhabarisha ndo mambo yamekwenda halijojo? Twasubiri updates mkuu, maana JF inaongoza na wengine ..............!!
 
Naambiwa na mdau kwamba News Conference imekwisha muda kidogo uliopita, wadau turushieni kirichojiri!
 
BREKING NYUUUZZZZZZZZZZ: MENGI NAYE AMJIBU ROSTAM
wakili Michael Ngalo wa Ngalo & Company Advocates akisoma baadhi ya vielelezo vya mteja wake, Mwenyekiti wa IPP Reginald Mengi, kudai kwamba tuhuma zote alizomwagiwa na Mbunge wa Igunga Mh. Rostam Aziz (kama inavyoonesha kwenye posti ya hapo chini) si kweli katika mkutano wa waandishi wa habari uliomalizika sasa hivi hoteli ya movenpik, Dar. Shoto ni mwanasheria wa makampuni ya IPP, Mh Agapirus Nguma ambaye pamoja na Mh. Ngalo walimwakilisha Mengi kwenye mkutano huo.
taarifa kamili inatayarishwa na itatolewa punde

- Tunasubiri taarifa kamili.

FMES!

Wana JF mliohudhuria au mliopata hizo updates tuambieni yaliyojiri.
 
huyu jamaa huwa hana msimamo kabisaaaa..hajawahi kucomment tukio lolote direct kama mkuu wa nchi...unakumbuka maandamano/mgomo wa walimu, wanafunzi wa chuo...wafanyakazi....he has never been serious...wenye kumbukumbu pia matakumbuka majibu yake juu ya richmond wakati uleeeeeeeee inaanza...mbona wenzetu hata akidumbukia mtoto ****** kama sio waziri mkuu basi raisi atasema chochote hata we nje ya nchi..
 
mahakama kazi yake nini sasa.........haya majibizano mpaka lini.?
 
Wakuu,

Leo naona mpaka 4:00pm, wanajamii wako hapa! Kazi zinafanyika huko maofisini? You can imagine man-hour zinazopotea kwa watu kufuatilia malumbano ya RA & RM
============================================================
Currently Active Users Viewing This Thread: 257 (99 members and 158 guests)
Baba_Enock, AmaniKatoshi, BabaH, Belo, BinMgen, BINTI SAYUNI, borntown, care4all, chap, Chibingwa, cola, Companero, COMRADE44, Congo, Dark City, dgeouff, fangfangjt, FDR.Jr, Gamaha, Great Thinker, Halisi, Heri, Hofstede, Ibambasi, Interested Observer, Isskia, Jeni, Kaduguda, Kang, Kapinga, kapuchi, KatuleJ, kireka1980, Kwayus, Liganga, M$awa, mahesabu, majikoga, MAKALA, Malunde-malundi, Mambo Jambo, Manta, Maria Roza, Mbalamwezi, Mfumwa, mizizi, Mjasiriamalishupavu, Mlalahoi, mpingo, mr kiroboto, Msafiri Lissu, Mshiiri, mtazamowangu, mtimti, MTM, mtoto, Mtu Kwao, mtu66, MtumwaKwao, muadilifu, Muhsin, mujuni2, Mwamboni, Mwita Maranya, Mzuzu, ndamwe, Next Level, Ngorunde, Njimba Nsalilwe, Nono, Nsololi, Ntaramuka, Nziku, Owoya, REOLASTON, Riane, Rwabugiri, Sabode, Saharavoice, Sally, seleka, Selous, semilong, SHAMTE, Simbamwene, sir leem, skasuku, Son of Alaska, stanluva, Tajiri Mtoto, tapeli, The Farmer, Tshala, Who Cares?, WomenofSubstanc, ygjunior, Zamazamani
===============================================================
 
mkuu wa nchi kimya.....

And what have you been doing kama sio kuhesabu idadi ya watu waliopo JF?Kuna wengine tunafanya follow-up through mobile devices,na haizuii kuendelea na shughuli za kazi when using it.Unless unaongelea kuwepo internet cafe....but again,WHAT'VE YOU BEEN DOING?
 
Wakuu,

Leo naona mpaka 4:00pm, wanajamii wako hapa! Kazi zinafanyika huko maofisini? You can imagine man-hour zinazopotea kwa watu kufuatilia malumbano ya RA & RM
============================================================
Currently Active Users Viewing This Thread: 257 (99 members and 158 guests)
Baba_Enock, AmaniKatoshi, BabaH, Belo, BinMgen, BINTI SAYUNI, borntown, care4all, chap, Chibingwa, cola, Companero, COMRADE44, Congo, Dark City, dgeouff, fangfangjt, FDR.Jr, Gamaha, Great Thinker, Halisi, Heri, Hofstede, Ibambasi, Interested Observer, Isskia, Jeni, Kaduguda, Kang, Kapinga, kapuchi, KatuleJ, kireka1980, Kwayus, Liganga, M$awa, mahesabu, majikoga, MAKALA, Malunde-malundi, Mambo Jambo, Manta, Maria Roza, Mbalamwezi, Mfumwa, mizizi, Mjasiriamalishupavu, Mlalahoi, mpingo, mr kiroboto, Msafiri Lissu, Mshiiri, mtazamowangu, mtimti, MTM, mtoto, Mtu Kwao, mtu66, MtumwaKwao, muadilifu, Muhsin, mujuni2, Mwamboni, Mwita Maranya, Mzuzu, ndamwe, Next Level, Ngorunde, Njimba Nsalilwe, Nono, Nsololi, Ntaramuka, Nziku, Owoya, REOLASTON, Riane, Rwabugiri, Sabode, Saharavoice, Sally, seleka, Selous, semilong, SHAMTE, Simbamwene, sir leem, skasuku, Son of Alaska, stanluva, Tajiri Mtoto, tapeli, The Farmer, Tshala, Who Cares?, WomenofSubstanc, ygjunior, Zamazamani
===============================================================

Baba_Enock toa ujumbe wako uliokusudia, naona unasikitika watu kuwa wame-login kwenye JF.
 
hii ndiyo moja ya document iliyosomwa na wanasheria wa Mengi[Source -Michuzi]
rt.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom