Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Status
Not open for further replies.
Uone Wadangayika tulivyo bendera fuata upepo, yaani asiyeona huitwa ana kengeza.

Si Mengi si Rostam, wote mafisadi.
Wote wanatafuta sympathy ya wananchi kwa kuonyesha nani fisadi zaidi ya mwenzie. Fisadi ni fisadi tu, awe Nyangumi , papa, ngisi, pweza, kibua au dagaa mchele.

It is better to tell the truth and be rejected, than to hold it back and be accepted - by WoS.

What is your definition of "the truth" in this context?
 
Source: Michuzi Blogspot

rt.JPG
 
Mimi nimempenda sana Mengi, ni msanii wa hali ya juu! Makasheshe mengi ameyafukia mwishoni mwa 2008, wakati moto wa Ufisadi ukiwa umeshaanzishwa...
Ndio maana Rostam alikuwa ana record za kweli lakini za nyuma ya hapo kidogo
Kuna issue pia hajazikanusha.
 
mengi sio mungu wa biashara, kwa hiyo ukifanya investment siku ingine zinakuwa nzuri siku ingine zinakuwa mbaya hiyvo ndio biashara ilivyo
mbona uwasifu kwa kuhakikisha aslimia fulani ya nmb inabakia tz..

Semilong, hii NICO ina historia ndefu sana, naomba niendelee katika thread nyingine, lakini kwa kifupi walitumia hila zote kupata pesa za wananchi maana ilibidi hata ile initial offer yao wai-extend kitu ambacho ilikuwa ni cha kushangaza. And instead of treating that money kama ya umma, waliamua kuzitumia kama za kwao, wengine kama akina Mengi walitatua matatizo yao ya kibiashara kwa kutumia pesa za wakulima watanzania.
Siwezi kuwasifu pia kwa sababu hiyo ishu ya NMB haikuwa for kuhakikisha asilimia fulani inabaki tz, it was about getting on the board of NMB and having business muscles kwa kutumia pesa za wavuja jasho. Kama akina Felix Mosha walitaka kweli kusaidia watanzania wasingejipatia nafasi nono, wangeifikisha NICO pazuri alafu wawaache wahusika. Sasa wamekiua NICo alafu wamejitafutia position nzuri. Come on Semilng mkuu, let us not apply tinted glasses to this issue.
 
Jamani wandugu Mangi Mengi fisadi hamuoni ufisadi wake au mnatetea kwamba yeye sio fisadi Nyangumi bali ni fisadi pweza..

'Eeeh baba wa mbinguni, jina lako litukunzwe, mapenzi yako yahimidiwe, sasa na hata milele, attention ya wananchi wanaodhani wanapigana vita dhidi ya ufisadi ielekee kwenye vita kati ya PAPA na NYANGUMI, MAFISADI KUBWA LAO tuendelee kusepa, Ameeeeen' Ndivyo wanavyoomba kwa bidii zote, na wanakesha wakiomba, Mkapa, Mary, Zakia, Mollel, Lowassa, Mramba, Mgonja, Liumba, Chenge, Mkullo (bunge la bajeti limekaribia) n.k.
 
Haya ya kususa ni maoni yako binafsi na sio ukweli wa kilichotokea. Unachofanya hapa ni speculation tu maana unajaribu kueleza kitu unachotaka au ulichotegemea kuwa kingetokea bila kuwa na facts kama kilitokea au la.

Una maelezo zaidi ya hili au uko tayari kuweka qualification kwenye maandishi yako kuelezea kuwa haya ni maoni yako binafsi na wala sio kile kilichotokea NICO?

Mwafrika. Hatutishiani humu. Kila ninachoandika ni mawazo na maoni yangu binafsi.

Mimi nimesema amejiuzulu kutokana na habari zilizowekwa hapa. Kutokana na mtiririrko wa habari ulivyoletwa, ndiyo maana nikatumia neno kususa. Ningetegemea kuwa kama kweli alikuwa amechukizwa, angehakikisha kuwa NICO inajitoa katika huo mkataba kabla ya kujiuzulu akiwa katika position of influence katika kampuni zote mbili. Kama wewe uko jikoni na unajua yaliyotokea, basi tuambie badala ya kutishiana nyau! Kama utaweka uthibitisho kuwa alijiuzulu baada ya juhudi zake kujaribu kuzuia dili kushindikana, I will gladly retract my statement. Sina ugomvi na Mengi na wala nisingependa kumsingizia kitu.

Amandla......
 
Jamani wandugu [B] Mangi Mengi[/B] fisadi hamuoni ufisadi wake au mnatetea kwamba yeye sio fisadi Nyangumi bali ni fisadi pweza..

'Eeeh baba wa mbinguni, jina lako lihimidiwe, mapenzi yako yahimidiwe, sasa na hata milele, attention ya wananchi wanaodhani wanapigana vita dhidi ya ufisadi ielekee kwenye vita kati ya PAPA na NYANGUMI, MAFISADI KUBWA LAO tuendelee kusepa, Ameeeeen' Ndivyo wanavyoomba kwa bidii zote, na wanakesha wakiomba, Mkapa, Mary, Zakia, Mollel, Lowassa, Mramba, Mgonja, Liumba, Chenge, Mkullo (bunge la bajeti limekaribia) n.k.

Uwiano Maalum, kusema eti Mengi ana afadhali kwa sababu ni fisadi pweza while Rostam ni fisadi papa, is really sad! Yaani tunashabikia ufisadi? Basi taitizo ni kubwa kuliko nilivyodhani! Sisi inatakiwa tusishabikie ufisadi wowote. It is time to turn a fresh page! No fisadi! Any size! Fisadi free Tanzania!
 
So far, si wengi wanaoshabikia ufisadi hapa. Sentensi yako inabidi kuwa na limitations.
 
Mwafrika. Hatutishiani humu. Kila ninachoandika ni mawazo na maoni yangu binafsi.

Mimi nimesema amejiuzulu kutokana na habari zilizowekwa hapa. Kutokana na mtiririrko wa habari ulivyoletwa, ndiyo maana nikatumia neno kususa. Ningetegemea kuwa kama kweli alikuwa amechukizwa, angehakikisha kuwa NICO inajitoa katika huo mkataba kabla ya kujiuzulu akiwa katika position of influence katika kampuni zote mbili. Kama wewe uko jikoni na unajua yaliyotokea, basi tuambie badala ya kutishiana nyau! Kama utaweka uthibitisho kuwa alijiuzulu baada ya juhudi zake kujaribu kuzuia dili kushindikana, I will gladly retract my statement. Sina ugomvi na Mengi na wala nisingependa kumsingizia kitu.

Amandla......

Hakuna ulikotishiwa nyau, umeombwa kuthibitisha maneno yako na sio zaidi ya hapo. Nafasi uliyo nayo ya kuuliza maandishi ya Mengi na wengine hapa, ni nafasi iliyo sawa kwa wengine kuuliza maneno yako.
 
"Kuhusu uwekezaji wa NICO, Ngalo alidai kuwa si Mengi wala kamati ya uwekezaji ya NICO ilihusika kwa namna yoyote ili katika mchakato wa maamuzi ya kuwekeza kwenye kampuni ya Interchem kwa kuwa alipogundua hilo alijiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa kamati ya uwekezaji na ujumbe na alifanya hivyo kupitia barua aliyoiandikia NICO Agosti 3 mwaka 2007. Aliwataka wanahabari kwenda NICO kuthibitisha suala hilo."

Sasa hivi unanambia niende NICO. Lakini mwanzoni ulikaribisha majibu na hoja na maswali.

Sasa unamtema, unamtupa Mzee wako Mengi, unasema huna majibu, unataka niende kuuliza NICO.

Mengi kaishiwa bana. Watu wanaisha, hata kina Mogella ilifika mahali wakaisha wakaanza kuhamia Yanga.

Mengi kaishiwa mpaka ana resort kusema maji yake ni spring water kumbe sio? Mpaka Waziri Khan akamwambia Mengi acha kudanganya wateja. Duuu

- Mkuu hebu soma tena juu uone ulivyo nje ya mstari, umeambwia na mawakili wa Mengi kama kuna usichoelewa nenda NICO, sio mimi niliyesema hayo mkuu, walichosema kiko wazi alipogundua alijiuzulu, wewe mwenyewe mwenye maswali hujui ni kwa nini alijiuzulu, acha hizo nenda NICO ulete habari hapa.

FMEs!
 
Source please!

Sources zote zimo humu humu, kwa mfano hapa.

Interchem ni yake na mdogo wake, alipokuwa mwenyekiti NICO wakanunua hisa Interchem, akajifanya hajui, kama kisingizio cha kina Ken Lay, alipojua hakufanya lolote, akakimbia NICO, dili likaendelea, mfuko wa NICO ukafilisika, yeye na kaka yake wakanufaika, madeni ya Interchem hawakulipa, benki ya Barclays wanawadai, juzi wamenyang'anywa kampuni na Barclays, Mengi kakasirika, kaishiwa, anadai maji yake ni spring water mpaka Waziri anamwambia acha kudanganya wateja, akajaribu kuandikisha dege hatari, chakavu, regulators wa Aviation Authority wakamshtukia, wakamtoa nishai, kanuna tena, analalamika hapewi viwanja mjini bali wahindi tu ndio wamejaa, alipopewa kiwanja mjini akauzia wahindi hao hao...absolutely losing his marbles.
 
"Kuhusu uwekezaji wa NICO, Ngalo alidai kuwa si Mengi wala kamati ya uwekezaji ya NICO ilihusika kwa namna yoyote ili katika mchakato wa maamuzi ya kuwekeza kwenye kampuni ya Interchem kwa kuwa alipogundua hilo alijiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa kamati ya uwekezaji na ujumbe na alifanya hivyo kupitia barua aliyoiandikia NICO Agosti 3 mwaka 2007. Aliwataka wanahabari kwenda NICO kuthibitisha suala hilo."

Mwafrika. Hatutishiani humu. Kila ninachoandika ni mawazo na maoni yangu binafsi.

1. Mimi nimesema amejiuzulu kutokana na habari zilizowekwa hapa. Kutokana na mtiririrko wa habari ulivyoletwa, ndiyo maana nikatumia neno kususa.

2. Ningetegemea kuwa kama kweli alikuwa amechukizwa, angehakikisha kuwa NICO inajitoa katika huo mkataba kabla ya kujiuzulu akiwa katika position of influence katika kampuni zote mbili.

3. Kama wewe uko jikoni na unajua yaliyotokea, basi tuambie badala ya kutishiana nyau!

4. Kama utaweka uthibitisho kuwa alijiuzulu baada ya juhudi zake kujaribu kuzuia dili kushindikana, I will gladly retract my statement. Sina ugomvi na Mengi na wala nisingependa kumsingizia kitu.

Amandla......
 
Sources zote zimo humu humu, kwa mfano hapa.

Interchem ni yake na mdogo wake, alipokuwa mwenyekiti NICO wakanunua hisa Interchem, akajifanya hajui, kama kisingizio cha kina Ken Lay, alipojua hakufanya lolote, akakimbia NICO, dili likaendelea, mfuko wa NICO ukafilisika, yeye na kaka yake wakanufaika, madeni ya Interchem hawakulipa, benki ya Barclays wanawadai, juzi wamenyang'anywa kampuni na Barclays, Mengi kakasirika, kaishiwa, anadai maji yake ni spring water mpaka Waziri anamwambia acha kudanganya wateja, akajaribu kuandikisha dege hatari, chakavu, regulators wa Aviation Authority wakamshtukia, wakamtoa nishai, kanuna tena, analalamika hapewi viwanja mjini bali wahindi tu ndio wamejaa, alipopewa kiwanja mjini akauzia wahindi hao hao...absolutely losing his marbles.

Hiyo source uliyoweka hapo haionyeshi chochote kinachothibitisha hayo uliyoandika hapo juu. Unayatoa wapi hayo?

kukimbia, kukasirika, mpaka waziri akamshtukia!!!! talk about cooking dataz!
 
Sources zote zimo humu humu, kwa mfano hapa.

Interchem ni yake na mdogo wake, alipokuwa mwenyekiti NICO wakanunua hisa Interchem, akajifanya hajui, kama kisingizio cha kina Ken Lay, alipojua hakufanya lolote, akakimbia NICO, dili likaendelea, mfuko wa NICO ukafilisika, yeye na kaka yake wakanufaika, madeni ya Interchem hawakulipa, benki ya Barclays wanawadai, juzi wamenyang'anywa kampuni na Barclays, Mengi kakasirika, kaishiwa,
.

- Mkuu Dilunga yaani haya hata Rostam hayajui, sasa hebu weka source mkuu maana this is serious. Weka source ya hii mkuu!

FMEs!
 
Mkuu FMES,
Nimesikitishwa sana na uchambuzi wako kwenye swala hili.
Mengi ni Fisadi Nyangumi kwa nini?
Pesa ya Import Suport ni ya Zamani sana... Alilipa mwaka jana alikuwa akisubiria nini?
Si mwaka jana ndio serikali ilianza kuzifuatilia tena kwa kutaka kuwa na mkusanya madeni?
je serikali isingefanya hivyo mengi si angechikichia.
Hana lolote.
 
Angalau yeye amelipa. Fisadi Rostum hata kukiri tu kuwa alichukua hela za EPA kupitia Kagoda hakubali. Wala hana mpango wa kulipa. Anajidai hajawahi kukutana na marehemu Ballali. What a liar!
 
Uwiano Maalum, kusema eti Mengi ana afadhali kwa sababu ni fisadi pweza while Rostam ni fisadi papa, is really sad! Yaani tunashabikia ufisadi? Basi taitizo ni kubwa kuliko nilivyodhani! Sisi inatakiwa tusishabikie ufisadi wowote. It is time to turn a fresh page! No fisadi! Any size! Fisadi free Tanzania!

Ni Mengi huyu huyu alikuwa akionyesha video za vita Sierra Leone kupitia ITV ili awatishe wananchi wasiwapigie kura vyama vya upinzani kwenye uchaguzi wa mwaka 2000. Alikuwa akiconvince wananchi kuwa kupigia kura upinzani ni sawa na kukaribisha vita, na athari za vita ndizo alizokuwa akionyesha kwenye hizo sinema za bure.

Sinema hizi za vita pia zilionyeshwa maeneo ya vijijini ambapo TV zilikuwa hazipatikani kipindi hicho ili kuondoa kabisa imani ya wananchi kwa vyama vya upinzani. Kwa kweli alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwani kura walizopata wapinzani zilipungua ukilinganisha na walizopata 1995, wakati ambapo mwaka 2000 wapinzani walitegemewa wapate kura zaidi ya walizopata 1995.

Mengi huyu huyu mtakatifu....alirudisha nyuma nguvu za vyama vya upinzani na hivyo kutoa mwanya wa ufisadi kukita mizizi katika nchi pendwa Tanzania. Laiti upinzani ungepata nafasi ya kutawala kipindi cha 2000-2005, ufisadi usingekuwepo.
 
Sources zote zimo humu humu, kwa mfano hapa.

Interchem ni yake na mdogo wake, alipokuwa mwenyekiti NICO wakanunua hisa Interchem, akajifanya hajui, kama kisingizio cha kina Ken Lay, alipojua hakufanya lolote, akakimbia NICO, dili likaendelea, mfuko wa NICO ukafilisika, yeye na kaka yake wakanufaika, madeni ya Interchem hawakulipa, benki ya Barclays wanawadai, juzi wamenyang'anywa kampuni na Barclays, Mengi kakasirika, kaishiwa, anadai maji yake ni spring water mpaka Waziri anamwambia acha kudanganya wateja, akajaribu kuandikisha dege hatari, chakavu, regulators wa Aviation Authority wakamshtukia, wakamtoa nishai, kanuna tena, analalamika hapewi viwanja mjini bali wahindi tu ndio wamejaa, alipopewa kiwanja mjini akauzia wahindi hao hao...absolutely losing his marbles
.

- Dilunga, unasema hii quote chini ndio source ya haya maneno yako ya juu? Au kuna nyingine mahali maana there is no way hii quote chini inaweza kuwa ndio the source kama ulivyoiweka pale kwenye hapa, ndio maana nilikuomba uende NICO upate habari zote kama walivyoshauri mawakili wa Mengi, usitengeneze dataz hii habari hapa chini unayodai kwua source yako haina anything to do na dataz zako, aibuu mkuu:-

InterChem Pharma Ltd, the Moshi-based pharmaceutical firm owned by media mogul Reginald Mengi's younger brother Benjamin, has been placed under receivership over a large debt accrued from Barclays Bank Tanzania Ltd.

The firm, which three years ago acquired a $6 million loan for setting up an anti-retroviral (ARV) drug manufacturing plant in Tanzania, will go under the hammer next year.

Bank sources told The EastAfrican in Dar es Salaam last week that the firm acquired additional investment from Barclays under a debenture agreement and mortgaged its plant in Moshi to the bank.

Barclays Bank Tanzania has already appointed Charles Rwechungura and Dr Alex Nguluma to be receivers and managers of the firm, which faces a mountain of debt owed to various creditors.

According to Mr Rwechungura and Dr Nguluma, the firm's assets and business are being offered for sale by competitive tender to recover the loan.

The two receiver managers were on December 27, 2008, expected to take possession of all properties owned by the firm under the bank's instructions after the company failed to honour its debts.

The bank source said that InterChem Pharma Ltd also borrowed some $10 million from the bank and other sources for setting up a penicillin-products manufacturing facility within a maximum period of two years.

InterChem, which was founded in 1987, is a Tanzanian pharmaceutical manufacturing company and was owned jointly by Reginald Mengi and his brother Benjamin Mengi, who is the chairman of the firm.

The project envisaged expansion of the existing tablets and capsule line, establishing a new penicillin plant (liquids, dry powder, tablets, and capsules) as well as establishing a new line for the production of tabs and capsules for HIV.

Foreign collaboration was sought in the form of joint-venture partnership, buy-back arrangement and/or equipment purchase to facilitate implementation of the project.

The company was incorporated in 1983. It manufactures liquids, tablets, capsules, creams, ointments, dry powders, external preparations and veterinary medicines.

Source: The East Africn
http://www.theeastafrican.co.ke/news/-/2558/507154/-/rm1ynlz/-/
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom