Wanasheria wa serikali ya Tanzania wapambana na kupunguza tozo toka USD 109M hadi 90M

Wanasheria wa serikali ya Tanzania wapambana na kupunguza tozo toka USD 109M hadi 90M

Usibishe! Mimi nilikuwa mkuu wa sehemu fulani. Kandarasi akajifanya kuleta ujanja, nikamtimua. Akaenda Mahakamani, nikaweka Wakili Nikamshinda, Idara ya Sheria ya Wizara ikadai sikufuata utaratibu maana utaratibu ni wao watetee taasisi yangu si kuweka Wakili binafsi ambaye alikuwa mzalendo akalipwa Per Diems wakati anahangaikia hiyo kesi ya mamillion.

Baadaye mipango ikasukwa sikuongezwa mkataba. Nilipotoka jamaa akarudi mahakamani. Nilipopata habari Nikamsitua Wakili. Wizara wakakataa kuwa wao wataenda mahakamani. Tulijua aliwapa chochote. Kesi hawakuenda mwishowe kandarasi akashinda kwa kuamua upande mmoja. Pesa ya Serikali ikateketea! We acha tu. Tatizo hapa JF kila mmoja ni mjuaji ila yanayofanyika huko, mungu ndiye shahidi!

..uliwezaje kuweka wakili wakati mkandarasi ameishtaki serikali?

..Na ulikuwa unamlipa kibinafsi wakili uliyomuweka kutetea serikali?

..mahakama iliwezaje kumkubali wakili binafsi wakati hakuwekwa na serikali?
 
Back
Top Bottom