Wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwa Jackie Frazier-Lyde

Wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwa Jackie Frazier-Lyde

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Jackie Frazier- Lyde ni Nani ?

Jackie Frazier a.k.a Sister Smoke a.k.a Sister Lyde ni mtoto wa Joe Frazier.

Joe Frazier ni Nani?

Joe Frazier( R.I.P) ni bondia wa uzito wa Juu " Heavy Weight Boxer" kutoka nchini Marekani ambae anaunda kinacho itwa " Utatu Mtakatifu katika Ubondia ".( The Holy Trinity in Boxing )

Huu " Utatu Mtakatifu katika Ubondia" unaundwa na :

1. Muhammad Ali .......The Father.


2. Joe Frazier ........ The son and

3. George Foreman ....The spirit.

So Jackie Frazier ni mtoto wa Kwanza wa Joe Frazier. Interestingly enough his daddy was 17yrs older then her. The father was born in 1944 and the daughter was born in 1961.

Some few facts about Jackie Frazier--Lyde of which Tanzanian lawyers need to learn from her.

1. She is a Judge.

2. She is a retired professional boxer. Apart from being a boxer Jackie Frazier ni sportswoman. Amekuwa akishiriki michezo ya Aina tofauti tofauti kama vile basketball, softball, riadha etc.

3. Funny enough kuhusu boxing ameingia rasmi kwenye professional boxing when she was 38.

Na amecheza match 15.

Ameshinda mechi 13 Kati ya hizi 13 mechi 9 ameshinda Kwa KO

Ametoka draw mchezo mmoja na amepoteza mchezo mmoja ambao Kwa maoni yangu Mimi mpenzi WA mchezo WA masumbwi ambae ninazijua vizuri Sheria za mchezo WA masumbwi ninasema mechi hiyo hakupoteza.

Kwa maoni yangu Mimi ninasema siku hiyo alitoka draw.

Pambano hili lilichezwa mwaka 2001 wakati Huo Sister Smoke akiwa na miaka arobaini. Na alicheza dhidi ya Laila Ali ambae wakati Huo she was just 24 and she was hot ( she was in her prime )

Kilicho tokea Kwa maoni yangu, majaji waliamua kumpa Ushindi Laila Kwa sababu hawakutaka kuchafua rekodi yake hasa ikizingatiwa she was still young na still bado alikuwa na muda mrefu wa kuendelea kukaa ulingoni. Both Laila Ali and Jackie are my favourite boxers but katika pambano ambalo Laila Ali alipata wakati mgumu basi ni hili la Sister Smoke.


Unaweza kwenda You Tube and Type Laila Ali Vs Jackie Frazier--Lyde and c for urself.

Tazama gestures za Jackie Frazier kwenye pambano hilo and tell me if one can even think that she is a Judge ( or a lawyer).

Kwanini nataka Wana Sheria WA bongo wajifunze Kwa Jackie Frazier

Hakuna watu wanao ishi maisha yanayo boa " boring life style " kama wanasheria wa Tz.

Mwanasheria wa Tz nje ya Sheria atakuwa mwanasiasa au mwanaharakati.

Huwezi sikia Mwanasheria wa Tz anafanya muziki kama.akifanya muziki basi atafanya gospel kama Ado Novemba na hata ikitokea Mwanasheria wa Bongo akaingia kwenye Sanaa basi wanasheria wenzake wata mdiscredit. Ataonekana Hana integrity. Nadhani Kamati ya maadili ya wanasheria inaweza kumuita kumuhoji na anaweza kusimamishwa uwakili kama sio kufutiwa leseni kabisa.

Hawa lawyers WA bongo hasa walio soma udsm wanapenda kuji stress Sana.

Nakumbuka at the hill hawa Jamaa walikuwa wanaishi maisha ya kuji stress Sana.

Ratiba yao ilikuwa

Room

Lecture Halls

Cateria
Library

And they were reading a lot of nonsense.

Kitu Kingine wanasheria wa Tz hasa waliosoma udsm NI waoga sana . Na hii Kwa sababu tangu wakiwa mwaka wa Kwanza Hadi mwaka wa mwisho wao NI kutishwa tu na walimu wao Akina " Quic Quid Professor" et Al.

Nakumbuka some time in 2006/2007 wakati Huo mwanadada Esta Wasira anatisha na Ngoma yake " Sheila" . Qic Quid Professor akatonywa kwamba Kuna mwanafunzi anasoma kitivo halafu anaimba bongo fleva, unaambiwa siku hiyo Yombo pale the quic quid professor akapiga biti la gzani " so so I have heard that there are some students in my class who are singing bongofleva. Is this how this faculty has turned into" Unaambiwa Esta akaachana kabisa na mambo ya muziki na mwisho wa siku akaingia kwenye siasa just to fit in with the nonsensical demand of the profession. Kama.ange achwa afanye muziki pengine angekuwa mbali Sana sasa hivi. Nafasi kama za kina Jokate Mwegelo asingeweza kukosa.

Kuna lawyers walikuwa waoga mpaka akiona mwenzake kavaa kofia na jinzi anamwambia uta disco

Kwenu Lawyers WA Tz

1. It's okay 2 be a lawyer and a musician. Tena typical bongofleva au Singelii si
Kupga vinanda kama Perfect au Judge Agustino Ramadhani.


2. It's okay 2b a lawyer and a boxer.
3. It's okay to be a lawyer and a footballer tena.mchezaji WA Chips Kavu Fc , Sifa Utd, abajalo au Deportivo LanTandale.

Don't stress urself.

images (4).jpeg
images (5).jpeg
images (3).jpeg
 
Boredom is a relative term my friend, there are some folks who are very satisfied with the status quo of the Legal-Fraternity.

Kuna mambo ambayo mwanasheria ambaye ni wakili hatakiwi kuyafanya mbele ya jamii kwasababu yanaweza kuvunja imani yake mbele ya wateja.

Japo naomba nikiri kwamba Tanzania kuna ukiritimba mkubwa sana ambao tulirithi kutoka kwa Waingereza, halafu chuo cha UDSM kikawavalisha wanafunzi.
 
Mkuu nimeipenda hiyo story ya Judge Agustino Ramadhan.

Ukipata chance tusimulie vipaji vya majudge wengine!
 
Mkuu nimeipenda hiyo story ya Judge Agustino Ramadhan.

Ukipata chance tusimulie vipaji vya majudge wengine!
Yule Mzee anapiga kinanda kanisani hatari Sana.

But hawa lawyers wetu WA kizazi hiki hawawezi kufanya hivyo wao wapo busy na mafaili.

Ndio maana.vijana wadogo wanakua na stress.

That's why lst wanafundishwa " Stress management for lawyers"
 
Hahahah aisee ni kweli nina kijamaa changu yan kipo bize 24/7 kimeshika ma faili hilo sio tatizo ila tatizo naona kina ji stress halafu hakina hela yaan sijui hua kinasimamia kesi za kuibiana kuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo judge itabidi atoe seminar kuhusu hili suala.

Yule Mzee anapiga kinanda kanisani hatari Sana.

But hawa lawyers wetu WA kizazi hiki hawawezi kufanya hivyo wao wapo busy na mafaili.

Ndio maana.vijana wadogo wanakua na stress.

That's why lst wanafundishwa " Stress management for lawyers"
 
Huyo judge itabidi atoe seminar kuhusu hili suala.
Kabisa. Life style ya Lawyer wa Tz is so boring. Yani MTU anajaribu kuwa Tundu Lissu kwenye maisha ya kawaida.

Kuna Jamaa yangu mmoja Mwanasheria niliwahi kukaa nae pale La Chaaz wakati ndio ina Anza Anza local beer walikuwa wanauza sh elfu 3 na.mia tano. Jamaa.kanywa bia tano ikaja bili sh elfu 17 na 500. Jamaa kagoma kasema " Nitatoa sh elfu kumi tu. Bia moja ni shilingi elfu mbili..ndio bei elekezi".

Ilibidi nimlipie ili kuondoa aibu.
 
Sawa Mwanasheria wa Bongo. Unataka niandike kuhusu katiba ya warioba ndo uone nimeandika Jambo la.maana.

U guys like to stress yourselves

Ndo maana.watoto wadogo mnakuwa na depression.

Life is to live.

# Be happy

# Don't stress urself for nothing.
 
😂😂😂😂

Hiyo ilikuwa ni aibu kubwa aisee

Kabisa. Life style ya Lawyer wa Tz is so boring. Yani MTU anajaribu kuwa Tundu Lissu kwenye maisha ya kawaida.

Kuna Jamaa yangu mmoja Mwanasheria niliwahi kukaa nae pale La Chaaz wakati ndio ina Anza Anza local beer walikuwa wanauza sh elfu 3 na.mia tano. Jamaa.kanywa bia tano ikaja bili sh elfu 17 na 500. Jamaa kagoma kasema " Nitatoa sh elfu kumi tu. Bia moja ni shilingi elfu mbili..ndio bei elekezi".

Ilibidi nimlipie ili kuondoa aibu.
 
LIKUD, Tumepokea ushauri wako, lakini tumeutupa kapuni kwa sasa tutafakari namna sahihi ya kuuzingatia.

Kumbuka Jackie ali-retire boxing ndio akawa judge, sio kwamba anafanya vyote kwa pamoja.

Wapo wanasheria wengi wanakimbia riadha, wanacheza michezo mingine pamoja na kufanya uanasheria wao.

Tambua, fani ya sheria inahitaji kusoma sana na kufikiria sana ili umudu mahitaji ya jamii.

Naamini umeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom