Wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwa Jackie Frazier-Lyde

Wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwa Jackie Frazier-Lyde

Kabisa. Life style ya Lawyer wa Tz is so boring. Yani MTU anajaribu kuwa Tundu Lissu kwenye maisha ya kawaida.

Kuna Jamaa yangu mmoja Mwanasheria niliwahi kukaa nae pale La Chaaz wakati ndio ina Anza Anza local beer walikuwa wanauza sh elfu 3 na.mia tano. Jamaa.kanywa bia tano ikaja bili sh elfu 17 na 500. Jamaa kagoma kasema " Nitatoa sh elfu kumi tu. Bia moja ni shilingi elfu mbili..ndio bei elekezi".

Ilibidi nimlipie ili kuondoa aibu.
Hahaaa mbona mnatuchana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una tamani kuwa Wakili sema ndio hivyo tena
 
Back
Top Bottom