Kabisa. Life style ya Lawyer wa Tz is so boring. Yani MTU anajaribu kuwa Tundu Lissu kwenye maisha ya kawaida.
Kuna Jamaa yangu mmoja Mwanasheria niliwahi kukaa nae pale La Chaaz wakati ndio ina Anza Anza local beer walikuwa wanauza sh elfu 3 na.mia tano. Jamaa.kanywa bia tano ikaja bili sh elfu 17 na 500. Jamaa kagoma kasema " Nitatoa sh elfu kumi tu. Bia moja ni shilingi elfu mbili..ndio bei elekezi".
Ilibidi nimlipie ili kuondoa aibu.