Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
- Thread starter
- #21
Serikali haikuingilia maamuzi ya TFF, Rais kwa hekima zake alishauri Yanga mmalizane na Feitoto, ilikuwa ni ushauri tu Yanga ingeweza kupuuza na kuendelea na kesi kule CAS.Fei kauzwa kwa 280m plus Yanga kuongezewa eneo la uwanja Jangwani, ukivalue kwa haraka haraka ni zaidi ya 500+m.
Halafu unajifanya mtu wa mpira ,hivi unajua kilicho fanyika hiki cha Fei kwa serikali kuingilia maamuzi ya chombo cha mpira TFF ni kosa,FIFA wangesikia nchi ingekula ban.
Yanga kwa kutambua kuwa wakipuuza huenda ombi lao la uwanja lisingekubaliwa wakatumia nao busara na kumalizana na Feitoto.
Nikija kwenye hoja ya mauzo ya Feisal siyo kweli kwamba Feitoto mauzo yake yalifika hiyo mil 500+ na hiyo hesabu ya kupigia kuongezewa uwanja Haina uhalisia, kwani uwanja haujatoka Azam ni serikali imewapa kwani Feisal Salum anaenda kucheza timu ya Serikali ili muingize uwanja kama sehemu ya consideration au price ya Feitoto? Kwani kusingekuwa na mgogoro wa Feitoto Yanga isingeomba uwanja kwa serikali? Na je wasingepewa?