Wanasheria wafungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki kubatilisha matokeo ya uchaguzi Uganda

Wanasheria wafungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki kubatilisha matokeo ya uchaguzi Uganda

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Chama cha Wanasheria wa Uganda (ULS) na Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS) wamefungua kesi katika Mahakama ya Haki ya Afrika Masharik iliyoko Arusha, wakilalamikia ukiukwaji wa viwango vya kidemokrasia katika uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026.

Wanadai Tume ya Uchaguzi ya Uganda na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zilidhoofisha mchakato wa uchaguzi kwa kufanya mabadiliko ya kanuni za uchaguzi bila ushirikishwaji wa wadau, kunyimwa vibali kwa waangalizi wa uchaguzi, pamoja na matatizo kwenye daftari la wapiga kura yaliyosababisha baadhi ya wananchi kunyimwa haki yao ya kupiga kura na vitendo vya ukatili kutoka kwa vyombo vya usalama.

Wanaiomba mahakama itangaze kuwa uchaguzi huo ulikiuka sheria na Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, na hivyo matokeo yake yabatilishwe. Pia wanataka kuombwa radhi hadharani, kuwajibishwa kwa Mwanasheria Mkuu Kiryowa Kiwanuka, pamoja na msaada kwa waathirika ukiwemo matibabu na msaada wa kisheria.

1774335536427.png

===========

The Uganda Law Society and East African Law Society have filed a case at the East African Court of Justice, accusing Uganda's Electoral Commission and Attorney General of violating democratic standards in the January presidential polls. They seek to invalidate the results ahead of President Museveni's scheduled swearing-in.

A legal challenge against Uganda’s January 15 presidential election has been lodged at the East African Court of Justice in Arusha by the Uganda Law Society and the East African Law Society.

The petitioners claim that state agencies, including the Electoral Commission and the Attorney General, undermined the electoral process through various irregularities. These include the unilateral appointment of commissioners, unreformed electoral laws, and problems with the voters’ register that disenfranchised eligible voters.

Additional allegations involve last-minute regulatory changes without stakeholder input, denial of observer accreditations, political bias against opposition figures, and violence by security forces that created an unsafe environment for political participation.

The filing argues these actions not only harmed Ugandan citizens but also affected residents from other East African Community states with interests in Uganda. On January 17, Electoral Commission chair Simon Byabakama announced Yoweri Museveni as winner with 71.65% of votes, while Bobi Wine secured 24.72%.

The societies demand court declarations that the election breached laws and the EAC Treaty, invalidating results. They also seek a public apology, accountability from the Attorney General Kiryowa Kiwanuka, and support for victims including medical and legal aid.

This regional case follows the Supreme Court’s confirmation of Museveni’s victory after opposition candidate Robert Kasibante withdrew his petition due to resource constraints. Museveni is set to be sworn in for another term in May.

Neither the Attorney General nor the Electoral Commission had commented by press time.

Source: Uganda online & Daily Monitor
 
Back
Top Bottom