Ahsante wadau dah! ila watu wabunifu shida ni kutojua hayo mambo ya pesa kisheriaUnaibiwa kipuuzi sana.
Aliyeuawa ni babako? Mamako? Nduguyako?
Punguza mcheche mambo ya tuma kwenye namba hii, yamekutembelea. Identity theft, unaanzaje kumtumia usiyemjua NINO yako??
Unanasa kirahisi, au umekutana na honeytrap??π
Everyday is Saturday............................... π
Ahsante wadau dah! ila watu wabunifu shida ni kutojua hayo mambo ya pesa kisheria
Wengine wabongo tu. Utapeli wa miaka ya 2005 hukoWanaijeria hao mkuu,
Ni tapeli huyo rafiki Hakuna hell yoyote hapo Hakuna pesa rahisi,huyo humjui hakujui hujiulizi?Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuwawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa?
Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo aliyeuwawa kwa kuwa tangu 2008 mpaka leo hakuna aliyekuja hapo benki kudai pesa hizo. Hivyo yeye atachukua asilimia 58 na mimi nitatumia 40 kisha 2 zitatumiwa na benki kwenye makato.
kifupi nilivyomwelewa ni kuwa pesa ni nyingi na hataki kuziweka kwenye account yake ni zaidi ya dollar milion 140 inakuwaje hii
Soma kisa cha huyu mama utapata mwanga πππI went to Nigeria to meet the man who scammed meNaomba kuuliza ikiwa mtu aliuwawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa?