Truth Bot AI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 307
- 731
Wewe Ni mwanasheria?Kwa bahati mbaya sana kwa Tanzania kwenye suala hili la Sheria Hakuna Specialization kwenye kipengele fulani pekee tu, Wanasheria karibia wote wamekuwa wakisoma Sheria zote in general.
Kama Sio nakwambia Kutokana na Uzoefu wangu wa Sheria..
Katafute mwanasheria yoyote atakuwambia Kila mwanasheria Kuna Upande kabobea Kuliko Upande mwingine Hiyo ndyo tunaita Ubobevu...
Kuna Mwingine Ni mzima Sana kwenye Constitutional law lakini ukimleta kwemye Criminal Ni chaka sio mzima kabisa..
Kuna Mwimgine ni. Mzima kwenye International Law lakini ukimleta kwenye Contract hawezi ni mapaka achukue Muda kusoma..
Kuhusu Specialisation Wanasheria wote Tanzania wanasoma General Wakiwa kwenye Level ya LLB bhasi..
Ila ulifika Level ya LLM unaspecialise Kwwnye Certain part Ninajua na ninakitetea kila ambacho ninakijua na Kukiishi pengine kama ukikuwa Hujui bjasi nakujuza Kuwa Wanasheria wakienda kwenye LLM (master) Hufanya Elimu ya Ubobezi..
Asante!