mtetezi wa MAGU
Member
- Dec 15, 2022
- 18
- 128
Viongozi waliokuwa wanaaminika, wazalendo na watetezi wa Watanzania sasa wamegeuka. Agenda kubwa si matatizo na changamoto zinazowakumba Watanzania, bali wanashindana kuonesha mabaya waliyotendewa na aliyetangulia.
Viongozi wa upinzani kila mmoja anazungumza kwa kutaka sifa au kuonewa huruma kana kwamba aliteswa na kusulubiwa kuliko mwenzake. Huyu atasikika akisema hili, mwingine lile, kana kwamba yupo aliyewatuma.
Kuruhusiwa kufanya siasa imekuwa kama kuruhusiwa kuwafanya Watanzania kujichukia na kujikatia tamaa. Siku hizi mpinzani anamsimanga maskini wala hapewi faraja na mbinu za kujikwamua katika hali aliyonayo.
Upinzani ushetani.
#HayupoNitasimamaNae.