Wanasiasa bora watano kwangu mimi kwa sasa

Wanasiasa bora watano kwangu mimi kwa sasa

mtimawachi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
2,108
Reaction score
3,155
1> Philip Mangula
Huyu kama ni umeme tungeita 'under ground cable' yaani unaona taa tu zinawaka lakini nyaya huzioni.

2> Abdulhman Kinana

Huyu yupo makini sana na ndio huyu alizunguka nchi nzima kuisafisha CCM

3> Freeman Mbowe
Huyu ndiye ameifanya CHADEMA itambulike kitaifa na kimataifa

4> Humphrey Polepole
Huyu ni msomi na mwanamikakati mzuri sana

5> Halima Mdee
Licha ya matatizo ndani ya chama chake lakini namuona anawatoa kimasomaso wanawake
 
𝚃𝚞𝚔𝚒𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚝𝚞𝚞𝚗𝚍𝚎 𝚝𝚒𝚖𝚞 𝚑𝚊𝚙𝚘 𝚠𝚊𝚏𝚊𝚗𝚢𝚎 𝚔𝚊𝚣𝚒 𝚙𝚊𝚖𝚘𝚓𝚊 𝙺𝙸𝙽𝙰𝙽𝙰 𝙽𝙰 𝙼𝙱𝙾𝚆𝙴 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚝𝚘𝚔𝚊 𝚖𝚊𝚙𝚎𝚖𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊. 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚜𝚒𝚓𝚞𝚒 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚜𝚑𝚒𝚗𝚍𝚠𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚗𝚒..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umepatia huyo Mzee wa kwanza basi!!!
 
𝚃𝚞𝚔𝚒𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚝𝚞𝚞𝚗𝚍𝚎 𝚝𝚒𝚖𝚞 𝚑𝚊𝚙𝚘 𝚠𝚊𝚏𝚊𝚗𝚢𝚎 𝚔𝚊𝚣𝚒 𝚙𝚊𝚖𝚘𝚓𝚊 𝙺𝙸𝙽𝙰𝙽𝙰 𝙽𝙰 𝙼𝙱𝙾𝚆𝙴 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚝𝚘𝚔𝚊 𝚖𝚊𝚙𝚎𝚖𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊. 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚜𝚒𝚓𝚞𝚒 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚜𝚑𝚒𝚗𝚍𝚠𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚗𝚒..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama umeongea hewa hivi
 
Kama list yako haina Musukuma au Kibajaj haifai. Upinzani mchukue Godbless, ana dhana nzuri kuhusu wawekezaji wa PowerPoint presentations. Usimsahu mwenyekiti Azan Zungu, mtoto wa mjini, na Mhe. Rajiv mbunge wa Zanzibar ana Kiswahili kizuri.

Kinana na Mangula hawo ni Philisophers achana nao. Halima akae kwenye waiting list in case Bajaj anajitoa.

Mbowe hata tano mwisho haingii, ilikuwaje akapigwa chini puu na Mbunge Safisha, katoto kadogo, Mchagga mwenye rangi yake nyeusi na meno yake meupe, ulishaona?
 
Kama list yako haina Musukuma au Kibajaj haifai. Upinzani mchukue Godbless, ana dhana nzuri kuhusu wawekezaji wa PowerPoint presentations. Usimsahu mwenyekiti Azan Zungu...
Kwa kazi aliyoifanya Magufuli,MBOWE ilikuwa lazima ang'oke.Lakini bado ameweza kukifanya chama chake kiendelee kuwa na imani naye,lakini bado chadema ina nguvu kulinganisha na vyama vingine
 
Kitendo cha wewe kuwaweka H Mdee na Mbiombio hata wewe nimejikuta nakuona ndezi/pimbi!
 
Back
Top Bottom