mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Huyo Kinana ni bingwa wa propaganda,Mbowe amepitia kipindi kigumu hadi wamemnyang'anya ubungeHapo umepatia huyo Mzee wa kwanza basi!!!
Ni kama umeongea hewa hivi𝚃𝚞𝚔𝚒𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚝𝚞𝚞𝚗𝚍𝚎 𝚝𝚒𝚖𝚞 𝚑𝚊𝚙𝚘 𝚠𝚊𝚏𝚊𝚗𝚢𝚎 𝚔𝚊𝚣𝚒 𝚙𝚊𝚖𝚘𝚓𝚊 𝙺𝙸𝙽𝙰𝙽𝙰 𝙽𝙰 𝙼𝙱𝙾𝚆𝙴 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚝𝚘𝚔𝚊 𝚖𝚊𝚙𝚎𝚖𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊. 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚜𝚒𝚓𝚞𝚒 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚜𝚑𝚒𝚗𝚍𝚠𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚗𝚒..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hakuwa mwanasiasa(kicheo)Ole Nangai Sabaya
Kwa kazi aliyoifanya Magufuli,MBOWE ilikuwa lazima ang'oke.Lakini bado ameweza kukifanya chama chake kiendelee kuwa na imani naye,lakini bado chadema ina nguvu kulinganisha na vyama vingineKama list yako haina Musukuma au Kibajaj haifai. Upinzani mchukue Godbless, ana dhana nzuri kuhusu wawekezaji wa PowerPoint presentations. Usimsahu mwenyekiti Azan Zungu...
Mnao kumbuka mchezo wa KACHIKE na CHALE !Pole pole na Halima wanafanya nini hapo!
Polepole ni mbunifu,lakini siyo mkurupukaji katika maamuziPole pole na Halima wanafanya nini hapo!
Tukiweka pembeni upambe wa vyama, Polepole anajua hadi anakeraaPolepole?....huu utani aisee.