johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huu simpati ulishakuwepo mkuuSiyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
KABUDI ndiyo alisema "jalalani" na yule RC wa Morogoro mwenye phd ya UDSM alilia kama mtoto bada ya jiwe kumtosa, watu wa udsm hawana elimu ya kujitegemea.Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Prof Kabudi ndiye aliokotwa jalalani ...kwani uongo!Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Mlaumu aliyesema: " Aksante rais, umenitoa jalalani."Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Huyo Tundu Lisu amesoma chuo gani?!Ni huyohuyo msomi wa chuo kikuu alisema hadharani.
Anachofanya Lisu ni nukuu tu.
Mmejidharau wenyewe kwa kujiita hivyo, Lissu ananukuu tu.Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Ni kwanini UDSM inahusishwa na jalalani???Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Comrade hapa unajizalilisha tu mzee Pombe ambaye ni mwenyekiti wako wa CCM ameuvagaa mkenge mwenye huu usemi wa jalalani uliletwa na Profesa wenu wa dampo almaarufu profesa kabudi.Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Chuo cha JalalaniHuyo Tundu Lisu amesoma chuo gani?!
Acha mambo yako ya kishamba kuumauma maneno. Anahusisha wa jalalani na Udsm? Au watu wote? Mana alisema JPM awape kazi wa majalalani sio yeye.Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani alienza kusema raisi amemtoa jalalani ni nani? Tuanzie hapo mleta madaSiyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Watu wote wanaweza kupewa kazi bwashee?Acha mambo yako ya kishamba kuumauma maneno. Anahusisha wa jalalani na Udsm? Au watu wote? Mana alisema JPM awape kazi wa majalalani sio yeye.
Any way umeahuhudia mtiti Zakheim?
Hujui muasisi wa hilo neno? Kwa upendo nikuambie ni le proffesseur macho kodo, wakati akishukuru kwa kuokotwa humo ‘jalalani’!Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Mwalimu wa Tundu Lisu!Kwani alienza kusema raisi amemtoa jalalani ni nani? Tuanzie hapo mleta mada
Bwashee huyo changudoa wa malunde, ni ndugu yako, Sema hajakuelewa tu! Mwambie asome upya na akariri wana-kijani wenzake kabla hajakomenti!Watu wote wanaweza kupewa kazi bwashee?
Unaweza kuta jalalani alimaanisha kule kijijini kwao ambako alikuwa anatembea peku huku katundika viatu beganiProf Kabudi ndiye aliokotwa jalalani ...kwani uongo!
Ni kwanini UDSM inahusishwa na jalalani???
Tuanzie hapo kwanza.