Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwako inaweza kuwa ngumu kuelew, mwajiri mkuu ni rais na huyu ndie anaetoa ajira zote. Na jana ametoa kibari za walimu.Watu wote wanaweza kupewa kazi bwashee?
Lissu alinukuu maneno ya Profesa Kabudi alisema kuwa aliokotwa na Magufuli jalalani (UDSM!).
Afadhali hata hilo neno la jalalani kalinukuu, kuna maneno mengine akiyanukuu mtasema anatukana.
Hivi unajua wateule wa Magu wamekuwa wakikubali kutukanwa na kuitwa wapumbavu kila mara na aliyewateua.
Sasa Kwa nini hoja yako inamuhusu Lissu na unamuacha huyo alieianzisha???Mwalimu wa Tundu Lisu!
Kwani muasisi wa neno hilo humjui mpaka umrushie TAL lawama ??!! .Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Suala la kusoma ni moja na kukiri kwamba umetolewa jalalani ni jingine.Huyo Tundu Lisu amesoma chuo gani?!
MuulizeProf KabudiNi kwanini UDSM inahusishwa na jalalani???
Tuanzie hapo kwanza.
Uchaguzi mwepesi sana huuSiyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!