ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Taifa stars siyo team ya wanasiasa ni mali ya Watanzania wote Taifa stars sio team ya kukutafutia Kiki na uchawa wa kijinga,
Wanasiasa mnawapa pressure wachezaji wetu Kwa ahadi za mapesa hadi wanashindwa kuwa kwenye uwepo uwanjani Mkome huu upuuzi wenu Taifa stars imeshinda dhidi ya Zambia away sababu hamukuweka hamasa fake
Hizo hela pelekeni mjenge viwanja na muanzishe academy
Soma Pia: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024