Tutafute namba 9 wetu kwanzaTaifa stars siyo team ya wanasiasa ni mali ya Watanzania wote Taifa stars sio team ya kukutafutia Kiki na uchawa wa kijinga,
Wanasiasa mnawapa pressure wachezaji wetu Kwa ahadi za mapesa hadi wanashindwa kuwa kwenye uwepo uwanjani Mkome huu upuuzi wenu Taifa stars imeshinda dhidi ya Zambia away sababu hamukuweka hamasa fake
Hizo hela pelekeni mjenge viwanja na muanzishe academy
Soma Pia: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024
Kivipi?? Kwamba wageni wanawanyima fursa wazawa??Hii Timu haitakuja kufanikiwa mpaka TFF wabadiri sheria ya wachezaji wandani na wakigeni katika ligi.
Tunatrain sana wageni na kuwapa game time wakati wabongo wenye vipaji wanakosa game time.Kivipi?? Kwamba wageni wanawanyima fursa wazawa??
Huo ndio ukweli wenyeweTunatrain sana wageni na kuwapa game time wakati wabongo wenye vipaji wanakosa game time.
Kuna wachezaji walikua hawapatinafasibtimu zao za taifa,ila baada ya kuja bongo wanapata vitu vifuatavyo.Huo ndio ukweli wenyewe
Mie kwanza ningeanza na no foreign goal keeper.Kuna wachezaji walikua hawapatinafasibtimu zao za taifa,ila baada ya kuja bongo wanapata vitu vifuatavyo.
1.Kocha mzuri wa mbinu,Mfano Gamondi,Gomezi,Nabi na Sven
2.Game time,muda mzuri wa kufanya kwa vitendo wanaxhofundishwa mazoezini
3.Soko kwenye Vilabu vikubwa,wengi wanafanikiwa hapa bongo,Mfano,Chama,Mayele, Nk.
3.Mazoezi na kocha bora wa viungo.
Wachezaji wetu lazima wajitume ila kuwalinda lazima tuwalinde.Tuwape Game time nzurii.
Walau sheria iseme wachezaji 4 lazima wawe wazawa kwa mechi moja.
Yes,Msri walifanya hivyo hakuna kipa wa kigeni.Mie kwanza ningeanza na no foreign goal keeper.
Pili a maximum of five foreign players per team.
Tatu lazima ligi ya u20 ichezwe sambamba na ligi kuu. Sio ile tunakutana wiki mbili mambo yameisha.
Kuwalinda ni lazima na pia kuwaandaa kuweza kucompete katika soccer la ushindani. Hatuwaandai wachezaji wetu yaani full tantalila. Moe nashindwa elewa yaani kucopy and paste nako tabu.
Ona spain walivyo shika soka katika all age categories hadi raha.
Kocha wa mens national team aloanza na u17 u18 u 23 na kote huko kachukua ndoo. Sie huku tunaruka ruka tuu kama headless chickens.
Wachezaji wapambane tuache hurumaYes,Msri walifanya hivyo hakuna kipa wa kigeni.
Team za under 20 pia kinapigwa before game ya watu wazima
Mzew kubali ukatae Simba Yanga na Azam ndio zina uwezo mzuri uliokamilika wa benchia ufundi na trainimg facilities.Wachezaji wapambane tuache huruma
Mbona shabalala pale Simba kacheza mbele ya Kwasi na Sasa nouma
Job kacheza mbele ya Gift Fred ndoumbia
Kapombe pale Simba
Feisal anacheza mbele ya wa Colombia.
Msindo anamweka benchi Sidibe
Mudathir mbele Abuya
Tuache huruma tuwaletee wachezaji wapambane wapate namba
Nimekwambia hao Watanzania wanaocheza Simba, Yanga na Azam wao wanabebwaMzew kubali ukatae Simba Yanga na Azam ndio zina uwezo mzuri uliokamilika wa benchia ufundi na trainimg facilities.
Hao wengine ni bora liende.
Hao wote uliowataja ni legular players kwa timu zao.
Lazima wachezaji wa ndani walindwe kwa kupewa nafasi pia kucheza tena kwa kanuni ,watakua tuu
Ila watu wa kigoma dahNimekwambia hao Watanzania wanaocheza Simba, Yanga na Azam wao wanabebwa
Ubora unapimwa Kwa ushindani
Me naamini mchezaji mzawa akimweka benchi mgeni ndo amekuwa
Mpira ni biashara no wonder kuna uwekezaji mkubwa wa makampuni na sponsors. Unapoleta uzalendo kwenye hela za Watu,remember the following.Mie kwanza ningeanza na no foreign goal keeper.
Pili a maximum of five foreign players per team.
Tatu lazima ligi ya u20 ichezwe sambamba na ligi kuu. Sio ile tunakutana wiki mbili mambo yameisha.
Kuwalinda ni lazima na pia kuwaandaa kuweza kucompete katika soccer la ushindani. Hatuwaandai wachezaji wetu yaani full tantalila. Moe nashindwa elewa yaani kucopy and paste nako tabu.
Ona spain walivyo shika soka katika all age categories hadi raha.
Kocha wa mens national team aloanza na u17 u18 u 23 na kote huko kachukua ndoo. Sie huku tunaruka ruka tuu kama headless chickens.