Wanasiasa nao!

Wanasiasa nao!

eRRy

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
1,126
Reaction score
206
1268899064_wavuanguoitary33.jpg


Wanasiasa wa jiji la Roma wakionyesha nguo zao za ndani walipokuwa wakipinga sera ya Gianni Alemanno aliyegoma kupitisha bajeti ya mji huo
.

Katika kile kinachoonyesha sasa wanasiasa wa nchini Italia wamecharuka kwa kutaka maendeleo, hivi karibuni maofisa wa Manispaa wa jiji la Rome, walikusanyika na kufanya maandamano kwa kuvua suruali zao wakilazimisha kupita kwa bajeti ya nchi hiyo kwa mwaka 2010.

Moja kati ya bango walilokuwa wamebeba lilisomeka "Maeneo ya kupaki na bustani zimevunjwa", "Watu hawana makazi”
Meya Sandro Medici wa Cinecitta alimtaja mwanasiasa Alemanno aliyekataa kupitishwa kwa bajeti hiyo kutokana na kudai kuwa na kodi ambazo sio za msingi.
 
Hii kitu huku kwetu hairuhusiwi isee, unaeza ona vitu vya ajabu!
 
Back
Top Bottom