GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Tumia mifano ya wanasiasa maarufu kueleza msimamo wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote ni manyangau, majizi, mauaji, masherati, mashetani ....................................endeleaTumia mifano ya wanasiasa maarufu kueleza msimamo wako.
Wewe unaionaje mkuu?Hii Jf ya skuizi imekuaje lakini...☹️
Nyuzi nyingi hazina hoja zenye ujazo mazeeWewe unaionaje mkuu?
Sasa kama wewe na maclassmate wako hamuandiki unatarajia nini?Nyuzi nyingi hazina hoja zenye ujazo mazee
R.i.P Classmates...😪Sasa kama wewe na maclassmate wako hamuandiki unatarajia nini?
Jaji Joseph Warioba naye ni mkweli. Hata hayati Sokoine naye anaweza kuingia kwenye kundi la wanasiasa wakweli.John Magufuli hakua muongo alisema 'Mtanikumbuka' na kweli! mimi kila siku namkumbuka...!🤸
Huwezi ukawa mbunge na Baadae Rais eti usiwe Muongo.John Magufuli hakua muongo alisema 'Mtanikumbuka' na kweli! mimi kila siku namkumbuka...!🤸
Hasa kwenye nchi zenye idadi kubwa ya raia wenye uelewa mdogo.Wanasiasa waongo Kwa kiasi kikubwa wanapatikana Africa maana hakuna kipimo cha utendaji wao wala Sheria za kuwawajibisha kwenye mafyongo yao.