Wanasiasa ni waongo, lakini si kila mwanasiasa ni muongo

Wanasiasa waongo Kwa kiasi kikubwa wanapatikana Africa maana hakuna kipimo cha utendaji wao wala Sheria za kuwawajibisha kwenye mafyongo yao.
 
Wanasiasa waongo Kwa kiasi kikubwa wanapatikana Africa maana hakuna kipimo cha utendaji wao wala Sheria za kuwawajibisha kwenye mafyongo yao.
Hasa kwenye nchi zenye idadi kubwa ya raia wenye uelewa mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…