Wanasiasa rudisheni heshima ya nchi

Wanasiasa rudisheni heshima ya nchi

situjadiriane

Member
Joined
Jan 5, 2023
Posts
41
Reaction score
49
Niwanasiasa pekee wanao weza kuturudishia Tanzania tuliyopewa na Mungu
Tanzania isiyokuwa na ukabila
Tanzania inayoheshimu Maharaja
Tanzania inayothamini haki za kuishi
Mwisho Tanzania inayozingatia siasa Bora elimu Bora na haki za kuishi
 
Sad kwamba unadhani wanasiasa ndio watarudisha hiyo heshima, bad news is they dont care

Wananchi amkeni mrudishe heshima ya nchi yenu kwa kuwawajibisha wana siasa
 
H
Niwanasiasa pekee wanao weza kuturudishia Tanzania tuliyopewa na Mungu
Tanzania isiyokuwa na ukabila
Tanzania inayoheshimu Maharaja
Tanzania inayothamini haki za kuishi
Mwisho Tanzania inayozingatia siasa Bora elimu Bora na haki za kuishi
Hawa wa chama chawala ama wengine?
 
Niwanasiasa pekee wanao weza kuturudishia Tanzania tuliyopewa na Mungu
Tanzania isiyokuwa na ukabila
Tanzania inayoheshimu Maharaja
Tanzania inayothamini haki za kuishi
Mwisho Tanzania inayozingatia siasa Bora elimu Bora na haki za kuishi
Mkuu wanasiasa hawezi kurudisha heshima ya inchi, ila wananchi wazalendo, nguvu ya umma kwa kutoa elimu elimu elimu bora.
 
Back
Top Bottom