situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Sad kwamba unadhani wanasiasa ndio watarudisha hiyo heshima, bad news is they dont careNiwanasiasa pekee wanao weza kuturudishia Tanzania tuliyopewa na Mungu
Tanzania isiyokuwa na ukabila
Tanzania inayoheshimu Maharaja
Tanzania inayothamini haki za kuishi
Mwisho Tanzania inayozingatia siasa Bora elimu Bora na haki za kuishi
Hawa wa chama chawala ama wengine?Niwanasiasa pekee wanao weza kuturudishia Tanzania tuliyopewa na Mungu
Tanzania isiyokuwa na ukabila
Tanzania inayoheshimu Maharaja
Tanzania inayothamini haki za kuishi
Mwisho Tanzania inayozingatia siasa Bora elimu Bora na haki za kuishi
Mkuu wanasiasa hawezi kurudisha heshima ya inchi, ila wananchi wazalendo, nguvu ya umma kwa kutoa elimu elimu elimu bora.Niwanasiasa pekee wanao weza kuturudishia Tanzania tuliyopewa na Mungu
Tanzania isiyokuwa na ukabila
Tanzania inayoheshimu Maharaja
Tanzania inayothamini haki za kuishi
Mwisho Tanzania inayozingatia siasa Bora elimu Bora na haki za kuishi