Wanasiasa Tuachieni Katiba Yetu

Katiba mpya itapigiwa kura na watanzania wapenda amani na wazalendo,licha ya kuwepo kwa upinzani wa wachache ambao hawajawahi hata kuisoma!
 
amani haitafutwi kwa maneno mafupi kama hayo ya kupiga kura au kutokupiga kura, ni swala la kila mwananchi kuridhika ndipo hapo tu unapokuwa unajenga amani.

jamani angalieni kwa wenzetu wanavurugwa na vitu gani? na hayo ndio tutazame kwetu kama yamekaa sawa na sio kuburuzwa tu na kujistukia tumetumbukia.

Katiba mpya itapigiwa kura na watanzania wapenda amani na wazalendo,licha ya kuwepo kwa upinzani wa wachache ambao hawajawahi hata kuisoma!
 
Katiba inayopendekezwa ndio habari ya mjini 2015,jitokeze kujiandikisha ili uweze kushiriki kupiga kura ya maoni,katiba mpya kwa maendeleo endelevu
 
Katiba inayopendekezwa ndio habari ya mjini 2015,jitokeze kujiandikisha ili uweze kushiriki kupiga kura ya maoni,katiba mpya kwa maendeleo endelevu

Vema Jumanne, Katiba ya nchi ndiyo injini ya maisha ya wananchi kwa kuweka sheria mama ili masuala yote yanayohusu nchi yawekwe kisheria. Tanzania tumeamua kwa dhati kujenga nchi yetu inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu. Hongera Tanzania.
 
Sawa sawa kabisa, wale wasioitakia mema hawajui wakifanyacho na Mungu awasamehe bureee, katiba hii ni suluhisho la kila kitu maana kuna vipengele vipya ambavyo vimewekwa mfano Mambo ya PCCB, Lugha za viziwi n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…