Kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na visasi kwa wanasiasa ambao hatunao tena. Masikini wa Mungu hao wanasiasa ambao hatunao tena ukiaangali kwa makini unagunduwa walichokuwa wakikitekeleza ni kwa manufaa yao wenyewe na sera zao sema tu chuki na visasi vinalitesa Taifa.
Mtu anadiriki kusema amesha ondoka huyo sasa tufanye mambo yetu kweli? Wewe nani alikwambia hata ukipewa Mali za Taifa hili zote hutokufa? Nataka kukwambia hakuna atakaye ishi milele kama walivyo tuacha Wazee wetu nasisi tutaondoka.
Hakuna mtu ataligawa hili Taifa kama Mali yake as long as God is founder of this nation. Mipango yenu kuila nakuitamalaki nchi ni mipango mfu na kamwe haiwezi timia hili Taifa ni letu sote sio Mali ya mtu na familia yake. Ipo siku mtasema Bora tungejuwa mapema. Maana Giza Nene litawafunika ninyi na familia zenu na mikakati yenu yakutaka jimilikisha haki na urithi wa watanzania. Kama Mwl Nyerere angekuwa na tamaa mlio nayo ninyi basi migodi yote na maeneo mazuri yangekuwa Mali ya familia yake. Leo ninyi mnataka ndio mtawale ndio muwe na Mali zote je na walio kuwepo wangefanya hivyo inhekuwaje?
JPM mnamchukia kwa jambo moja tu Uzalendo nakukataa kujimilikisha Mali za watanzania. Hilo linawatesa sana mengine ni ziada.