The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Katika miaka michache niliyojaliwa na Mungu kuishi hapa duniani, nimeshuhudia mambo mengi kuwahusu ndugu zangu walioko kwenye uga wa siasa.
Kimsingi nimejifunza kwamba wanasiasa kwa sehem kubwa ni watu wanaofanana. Wanachotofautiana ni nyakati walizoishi, na majina ya vyama wanavyovipigania.
Yafuatayo ni baadhi ya majina ya wanasiasa waliopata kubadili mitazamo yao kisiasa na kuniondoa kabisa kwenye reli ya kushabikia wanasiasa.
1 Lyatonga
2 Lowasa
3 Sumaye
4 Msigwa
5 Slaa
6 Lissu
7 Odinga
8 Silinde
9 Gekul
10 Nasary.
11 Mdee na genge lake.
Haya ni miongoni mwa majina ya wanasiasa ambayo yananifanya nipungize nguvu zangu kushabikia wanasiasa.
Tusijekua tunakauka makoo hapa kumpigania Mbowe alafu siku moja tukamkuta ccm anagawia kadi wanachama toka vyama pinzani.