Wanasiasa wanawake warembo duniani: Hakuna hata mweusi mmoja, huu ni uongo

Number one should be that Italian girl.... amenibamba[emoji7]
 
Kama kwenye hiyo list hayupo huyu mwanasiasa mrembo zaidi duniani ambae alikuwa waziri mkuu wa thailand billionea yingluck shinawatra basi hii list ni haramu.


Huyu alimdatisha hadi obama,yinluck unaambiwa "weka mbali na watoto"
 
Bila kuwepo huyu Rais wa Croatia hiyo top ten haiko sawa.
 
Uzuri upo machoni kwa MTU na wewe unaweza kuweka top ten yako Hamna MTU atakukatalia
 
Halima Mdee yuko wapi?..hii listi ni batilj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…