Wanasiasa wapiga madili na Mafisadi kama Abdala Bulembo wanaichafua CCM. Wafunguliwe mashitaka kwa kutafuna mali za umma.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Chama cha mapinduzi kilikuwa na shule nyingi ma mali nyingi tu zilizokuwa chini ya jumuia ya wazazi.

Abadala Bulembo na wakora wenzake ndani ya CCM wakazitafuna na kujaza matumbo yao. Leo hii anajinasibu kupiga kelele kuziba wanaopinga ufisadi bila aibu.

Ina maana anataka kuaminisha watu kuwa CcM inalinda mafisadi bila hata aibu. Maana ana kiherehere kuwapiga madongo wanaopinga ufisad.

Jinai haina mwisho watu kama haw watiwe nyavuni.
 
CCM haijawahi kua na shule Wala elimu sio kipaumbele chenu.
 
Shule zote wa jumuiya ya wazazi zinapaswa kutaifishwa na kurudishwa serikalini vikiwemo viwanja vya mpira.

Yule mwendakuzimu ule uzalendo fake aliyojivalisha angelifanya hili hata mimi ningekuwa mshabiki wake, badala yake alichokifanya ni kuidhinisha dhulma hii ya ccm kwa umma kupitia kamati ya Dr Bashiru.
 
Jikite kwenye mada bwa mdogo
 
Chama cha mapinduzi kilikuwa na shule nyingi ma mali nyingi tu zilizokuwa chini ya jumuia ya wazazi.

Abadala Bulembo na wakora wenzake ndani ya CCM wakazitafuna na kujaza matumbo yao. Leo hii anajinasibu kupiga kelele kuziba wanaopinga ufisadi bila aibu.

Ina maana anataka kuaminisha watu kuwa CcM inalinda mafisadi bila hata aibu. Maana ana kiherehere kuwapiga madongo wanaopinga ufisad.

Jinai haina mwisho watu kama haw watiwe nyavuni.
Majizi yanapotuhumiana
Yetu macho.
 
Nenda kanyonye
Ungekua umeelimika ungekua na maudhui ya kiungwana Ila kwasababu wewe ni darasa la Saba unaejua kusoma, kuhesabu na kuandika tu, unapata faraja Sana ukijibu matusi na majibu ya hovyo.
 
Shule zote wa jumuiya ya wazazi zinapaswa kutaifishwa na kurudishwa serikalini vikiwemo viwanja vya mpira.

Yule mwendakuzimu ule uzalendo fake aliyojivalisha angelifanya hili hata mimi ningekuwa mshabiki wake, badala yake alichokifanya ni kuidhinisha dhulma hii ya ccm kwa umma kupitia kamati ya Dr Bashiru.
Na viwanja vyote vya mpira walivyojimilikisha
 
Chafuaneni weeehh!! Ikifika 2025 mtakuwa hamsafishiki! Na jambo hili litakuwa ni heri kwa Watanzania wapenda mabadiliko.
 
Hivi hakuna shule za jumuia ya wazazi zilizouzwa akiwa mwenyekiti??
 
Chama cha mapinduzi kilikuwa na shule nyingi ma mali nyingi tu zilizokuwa chini ya jumuia ya wazazi.

Abadala Bulembo na wakora wenzake ndani ya CCM wakazitafuna na kujaza matumbo yao. Leo hii anajinasibu kupiga kelele kuziba wanaopinga ufisadi bila aibu.

Ina maana anataka kuaminisha watu kuwa CcM inalinda mafisadi bila hata aibu. Maana ana kiherehere kuwapiga madongo wanaopinga ufisad.

Jinai haina mwisho watu kama haw watiwe nyavuni.
Umeandika ushuzi
 
Back
Top Bottom