Wanasiasa watano waliokufa kwa kusimamia walichokiamini! R.I.P

Amina was positive. Hicho ndicho kilichomuua. Aliacha kutumia dawa na hakuchukua round. Husband pia ndicho kilichomuua. Amina aliondoka na wengi na wengine bado. Sitta yawezekana "aliondolewa" na Amina.
 
We ukiendaga kunya mbona hua ukimaliza unapita kwenye kioo kujiweka sawa kope? Kope ndo zilikunya?
 
ukitaka kuwa jeshi la mtu mmoja na kudhani kuwa unachofikiri wewe ni sawa na wengine hawajui/ hawako sawa.

tafuta ulimwengu wako binafsi.
 
Corona noma ikamuondoa huyohuyo aliyejifanya haiogopi
 
Nyerere na Sokoine ndiyo waliofanya nchi hii iwe LDC hadi leo kwa kuanzisha kampeni zao za kuwakamata wauza Sigara ati wanahujumu uchumi. Namheshimu sana Mwalimu lakini kwenye uchumi hasa uchumi wa kijamaa, ameifelisha sana nchi.
 
Kweli siwezi argue na kilaza. Huna Hoja yyt unayoweza kuniambia kuhusu Corona
Kweli mkuu maana wewe ni virologist mbobezi. Umegundua kuwa hakuna corona ni uzushi tu. Hongera utapata tuzo ya Nobel mwakani.
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana.

Hivi Sokoine alipambana na wahujumu uchumi, au serikali ya kidikteta ndio iliwapa jina la uhujumu uchumi watu waliotafuta mali kwa jasho lao kisa wamekataa kuunga juhudi za sera ya ujamaa na kujitegemea?
Enzi zile maisha yalikuwa magumu Sana Kwa sababu mbalimbali ikiwemo hiyo ya kuwazuia watu kumiliki Mali na kuwapa majina ya uhujumu uchumi.Ile Sera ya Nyerere ilikuwa ni nzuri kinadharia lakini haitekelezeki.Ni ngumu sana kufikiria kuwa unaweza kuwafanya watu wote kuishi maisha ya Aina moja.utaferi tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
I dont know much about Sokoine lakini nasikia alikuwa anamwaga sukari za wafanyabiashara eti magendo, nielimishe alipigana vipi na uhujumu uchumi au kitu gani exactly alifanya tumwone alikuwa mwamba, sio kutulisha madini kumbe patupu
Maumivu ya kifo cha ghafla yalipelekea maombolezo yawe na maneno mengi yenye kuenzi.Lakini ukweli halisi ni ngumu kuelezea.kinachombeba ni ile dhamira Safi tu ingawa ni ya kufikirika zaidi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…