NAOMBA TAFADHALI SANA SEMA MIKENYA MMELAANIWA MAANA MTU ANAYE DHARAU KWAO NI MWENDAWAZIMU MTUMWA WA HALI YA JUU YEYE NA KIZAZI CHAKE MILELE YOTE, hakika umelaaniwa milele yote MK254!
Uganga wa mizimu na maaguzi ndio ninaoumaanisha. Kwa taarifa tu mitishamba haiko mbali sana na uganga wa matunguli, maana dawa zinazotumika matungulini ni mitishamba pia.Hapa mnazungumzia waganga miti shamba ama hawa wa kufanya mazingaombwe? There is difference btwn the two.
Hapa Kenya, waganga miti shamba is completely legal mradi tu uwe na cheti cha serikali. Na kuna wakati walikuwa wakidemand kutoitwa waganga mbali madaktari miti shamba.
Ule aina mwingine ya uganga is illegal, it is prosecutable by law.
Baba ako na ukoo wako ndio wameleeniwa, wengine tutoe...Uchawi gani zaidi ya kutafuna minofu ya albino, miafrika tumelaaniwa.
We know the politicians are not going there for medical treatment. Its rear to hear of Kenyans going to TZ for treatment.
This is definitely sorcery and wizardry. Seeking advantage from the underworld to get to high office.
However, what does it profit a man to gain the whole world and loose his soul.
And we know, the blessings from God are yeah and amen. Thinking of Shusho's song.
No wonder albinos are killed to fuel this sorcery.
By the way, what's the % of Christians in TZ?
Mkuu bongo ni nchi ya wajanja, hao wanasiasa wanapigwa pesa tu, Wajinga ndio waliwao.Hehehehe!! Haya bwana, ila nyie noma kwenye hiyo taaluma sasa mbona msiitumie katika kuifanya nchi iwe kwenye dunia ya kwanza.
For any society to grow sorcery and wizardry should be banned. That's what previously practicing communities in Kenya have discovered. TZ should do likewise.
We know the politicians are not going there for medical treatment. Its rear to hear of Kenyans going to TZ for treatment.
This is definitely sorcery and wizardry. Seeking advantage from the underworld to get to high office.
However, what does it profit a man to gain the whole world and loose his soul.
And we know, the blessings from God are yeah and amen. Thinking of Shusho's song.
No wonder albinos are killed to fuel this sorcery.
By the way, what's the % of Christians in TZ?
Mkuu bongo ni nchi ya wajanja tu, hao wanasiasa wanapigwa pesa tu. Wajinga ndio waliwao.
Mbavu zangu, aisei nimecheka sana. Ni kweli maana kuna wale hata baada ya kuja Bongo kutafuta hizo nguvu za kichawi bado waliishia kupigwa chini, sasa sijui watarudi huko kudai hela zao au inakuaje.